Mmezipata habari za ChatGPT? Automation inatishia ajira za watu

Hilo dude limekalilishwa kwaiyo liko Iimited mkuu
Hata wewe umekaririshwa. Ndio maana ukiulizwa swali mambo ambayo hujasoma hujibu kitu au hujibu kwa usahihi. Injinia amekariri formula, dokta amekariri magonjwa na tiba yake, mwanamuziki anachukua maneno anayaunganisha na kupata shairi. Kwa hio maroboti yanakariri kama binadamu. Ila huwa tunapenda kujikuza sana sisi binadamu.
Maneno tunayochati hapa tumekariri.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huyo jamaa ni mvivu wa kufikiri
Ishu sio dokta kuingia na vitabu bali hata nafasi ya kuingia lab hawataipata. Everthing Robot watafanya.
Haya mambo sio kama mnavyoyafikiria nyie, bali wanasayansi wanavyoyachukulia.
Hivi umewahi jiuliza juu ya teknolojia zilizopo sasa na mitazamo ya watu wa miaka ya 90's
 
CHATGTP iko vzuri ila ina assume generalisation. Mfano nimeiuliza "how to drive howo truck"? Yenyewe ikanpa maelezo ya kudrive automatic car. I hope as time goes itaendelea kuimprove kutokana na new training & improvements.
 
ChatGPT inatakiwa uiguide kwenye kuiuliza maswali ikupe majibu unayoyataka.

Ukiuliza swali general inakupa jibu general.
 
Last weekend nimeandike section nzima ya report kwa kutumia chatGPt.

Na ikapita haikuketa shida.
Naona chatgpt inaenda kuwa replace freelancers. Yaan kazi zote zilizokua zinafanywa na freelancers kama vile article writing, translation, customer assistant,, nk zote zinafanywa na chatgpt by now.
 
Ofcoz.

Miaka mitatu ijayo chatGPT inaweza kuwa na uwezo wa kufanya maajabu.
 
Naona GPT imepass bila matatizo both US medical licensing & MBA Wharton exams, tunapoelekea na hii kitu is unknown territory na hakuna mtu anajua, kwa sasa vitu amabvyo vimetuchukua miaka mingi na nguvu nyingi kusoma hii kitu inafanya in seconds
 
Watu wengi wanafikiri hii kitu ni mbaya kwa wanafunzi na itawafanya wawe wa kukopi tuu, lakini upande mwingine hii kitu ni bora kuliko mwalimu wako, jaribu topic yeyote itakufundisha na hata ukiiambia ikupige maswali itakupiga na ukitaka solutions itakupa kwa uelewa mkubwa sana, muhimu ujue namna ya kuongea nayo na kuuliza maswali
 
Nu kweli kabisa
 
ChatGPT inatakiwa uiguide kwenye kuiuliza maswali ikupe majibu unayoyataka.

Ukiuliza swali general inakupa jibu general.
Nimejaribu kui guide kwa kuuliza "HOW TO DRIVE MANUAL HOWO TRUCK WITH 10 GEARS" bado haijanipa exact answer. Mfano ukiwa unaendesha howo ukifika gear namba 5, unapress ile sprinter,,, unaingia high afu unarudi tena gear namba moja. Lakn hii GPT haijaniambia hvo.
 
Watu wengi wanafikiri hii kitu ni mbaya kwa wanafunzi na itawafanya wawe wa kukopi tuu, lakini upande mwingine hii kitu ni bora kuliko mwalimu wako, jaribu topic yeyote itakufundisha na hata ukiiambia ikupige maswali itakupiga na ukitaka solutions itakupa kwa uelewa mkubwa sana, muhimu ujue namna ya kuongea nayo na kuuliza maswali

GPT inasaidia sana atakaegoma kuendana nayo dunia haitasimama kumsubiria, cha muhimu ni kujua jinsi ya kuipa commands.

Watu wanapata ajira kufundisha matumizi ya ChatGPT, Freelancing sites zinaongeza hii kitu kwenye list ya ujuzi.

asubuhi nimetuma email dakika moja Ni mwendo wa commands tu... “chatGPT act sympathetic write email to bla bla... AI inaandika edit kidg imeisha hiyo

Inasaidia sana kuokoa mda, baada ya kukomaa kuandika email vizuri isiyo na typos unafanya mambo mengine.
 
Hiyo ni ChatGPT, hujaja kwenye paraphrasing tools kama quillbot.
 
Kuna very interesting and true story movie documentary ya hawa jamaa wa deepmind inaitwa AlphaGO, binadamu bingwa wa dunia na majivuno yake ambaye hajawahi kushindwa alicheza mechi na AI, kilichotokea angalia hapa

Ebwanaeee! This is very emotional.
 
Hiyo ni ChatGPT, hujaja kwenye paraphrasing tools kama quillbot.

Quillbot hebu nielezee zaidi maana sasa hivi ni mwendo wa tools za kurahisisha productivity.

Ila mimi nna hasira kwanini wa Tz tuko nyuma sana, Twitter watu wanapost habari za mapenzi Na politics tu ndio wanajazana.

Binafsi inaniuma hapa sio mahala pake ila wa Tz tunafeli sana kwanini!?
 
Useful and informative thread, hongera kwa mtoa mada kututoa kwenye ukale, sasa hivi nimetoka kuandika/imetoka kuniandikia report ya one page kwa sekunde kadhaa. Nimeisoma nikaiedit, nikaicustomize na kuisubmit.

Muendelee kututoa ushamba jamani mnajua watz wengi kompyuta zenyewe tumeanza kuzijua ukubwani haya tutayajulia wapi? 😅
 
Quillbot hebu nielezee zaidi maana sasa hivi ni mwendo wa tools za kurahisisha productivity.

Ila mimi nna hasira kwanini wa Tz tuko nyuma sana, Twitter watu wanapost habari za mapenzi Na politics tu ndio wanajazana.

Binafsi inaniuma hapa sio mahala pake ila wa Tz tunafeli sana kwanini!?
Quillbot ni tool inakupa vingi sana kwa upande wa sentensi.

Inaweza ku-act kama paraphrase tool

Inaweza kuwa kama grammer checker

Inaweza kuwa kama plagiarism checker

Inaweza kuwa kama summarizer

Inaweza kuwa kama citation generator

Ina mambo mengi sana, unaweza ipata kama chrome extension.
 
Haloooooooo ,. Hiiii DUNIA NI YA MUNGU ILA KILA KITU NI CHA MZUNGU ASEEEEEEEE
 
Nime request notes on masterbation , ikaleta research report mpaka. Citations , intro, functions , benefits + dis adv, za master , duh hii kweli ni artificial intelligence (AI)
 
nikaiuliza kama inajua kiswahili, nikaimbia iandike short essay kumaliza umaskini Tanzania etc kwa kweli i was impressed na majibu yake na kila kitu
Ungeiambia namna ya wewe kupiga pesa ndefu Tanzania sasa hivi ungekuwa mbali mno kimaisha.

Ngoja niitafute niiambie🤣
 
Back
Top Bottom