Tangantika
JF-Expert Member
- Aug 12, 2018
- 5,586
- 7,087
Hata wewe umekaririshwa. Ndio maana ukiulizwa swali mambo ambayo hujasoma hujibu kitu au hujibu kwa usahihi. Injinia amekariri formula, dokta amekariri magonjwa na tiba yake, mwanamuziki anachukua maneno anayaunganisha na kupata shairi. Kwa hio maroboti yanakariri kama binadamu. Ila huwa tunapenda kujikuza sana sisi binadamu.Hilo dude limekalilishwa kwaiyo liko Iimited mkuu
Maneno tunayochati hapa tumekariri.