Mmezipata habari za ChatGPT? Automation inatishia ajira za watu

Kama uko Serious basi Unakiwango duni sana cha kufikiria kwa umakini
 
Kwa hiyo unataka kitu kinachoweza fanya yote hayo mazuri uliyo yasema tukipige marufuku?
 
Sasa elimu ya bongo kwaheri hapa ukipewa group au individual work chuo unaingiza shwali Kama lilivyo kazi yako ni kwenda print tu na kukusanya
Duuu! hatari sana. Ila sio matumizi sahihi. Utakwama kwenye UE. maana utakuwa mweupe kichwani.
=
Your browser is not able to display this video.


 
Kama ni kilaza hata ukitumia hii chatgpt bado haitakusaidia kitu. Hii itakusaidia kupata taarifa/input kwa urahisi lakini haiwezi kukufanyia kila kitu.
Hii tech ina pande mbili na Iko hivi,
- Kilaza ataendelea kuwa kilaza zaidi,
- Na mtu ambaye ni smart atakuwa smart zaidi, [ Kwa mtu smart, chukulia project aliyopaswa kuikamilisha kwa siku 30, badala yake anatumia siku 2] kutokana na usaidizi atakaokuwa anapata toka AI. mbali mbali, Hili linafanyika sasa hasa katika njanya kama website design.
 
Ni kweli mkuu.
Ni kama ilivyo kwenye matumizi ya Google.
 
CHATGP inamuelekeo mzuri na itateka na kuangusha baadhi ya mifumo ya utafutaji content kwenye mtandao japo kwa sasa bado siwezi kusema sana ila bado kufika huko.....
Inakupa kila kitu kwa jinsi unavyo hitaji katika mpangilio unao hitaji na kwa % kubwa, hata ukitaka ikuandikie simple program ,Thesis, blog content etc inakufanyia.
Ukitaka kujua bado ina mapungufu copy content ya kingereza iambia itransilate kwenda kwenye kiswahili utaona makosa mengi.
CHATGP yasasa as on Jan 2023 ina info kuanzia Dec 2021 kurudi nyuma na info zote Jan 2022 todate hazipo.Bado kwenye majaribio na wana mpango wa kuweka mpya ambayo iko improved zaidi soon.
Nafurahi kuwa kati ya watu wa kwanza TZ kuitumia Last year 2022 todate😊
 
Your head's primary objective is not to store information.

Just to think, thats it.

Store your information somewhere else.
Sawa, tunategemea madokta wawe wanaingia na vitabu kwenye upasuaji, au wanaingia na tablet zao, wanatoboa mtu then wanaangalia michoro kwenye hizo tab ndo wanaendelea na upasuaji.

Your comment is among the dumbest things I've seen in 2023 so far
 
Sawa, tunategemea madokta wawe wanaingia na vitabu kwenye upasuaji, au wanaingia na tablet zao, wanatoboa mtu then wanaangalia michoro kwenye hizo tab ndo wanaendelea na upasuaji.

Your comment is among the dumbest things I've seen in 2023 so far
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huyo jamaa ni mvivu wa kufikiri
 
Mkuu nafahamu IT ni field yako lakini nina uhakika hujanielewa hapo juu nilichomaanisha. Once again nasema ni mapema mno kuanza kuikosoa ChatGPT..wazungu wanaona mbali mno..comments zako zipo negative zaidi juu ya hiyo kitu na hapo ndipo ninapopishana na wewe kimtazamo.
 
Midjourney vs Dall - E unaichagua ipi? Maana Dall - E ni project ya OpenAI pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…