TANZIA Mmiliki na Mkurugenzi wa Bar ya Chako ni Chako jijini Dodoma, God Makoi, afariki dunia kwa ajali ya gari

Mkuu ni pamoja na tabia ya kupenda kuendeleza mawazo ya wengine.
waafrika hatuna hiyo.
Huo ndo mwisho wa miradi yake.
Pure black African witch craft (East African Bantu) done right in public!

Shameless creatures!




Pascal Mayalla aliwahi kuleta topic humu kuwahusu β€œProphets Of Doom”, google it please.
 
RIP mpambanaji...kwa jinsi barabara zetu zilivyo na madereva vichaa wasiozingatia uendeshaji salama,huwa napenda kuwausia vijana wangu waliojipata kiuchumi kuwa na permanent and experienced driver, hasa wanapokuwa kwenye safari ndefu.
Ni kweli kabisa, lakini huyu hakuwa highway
Umenikumbusha platinum kwa hussein na haji .
 
Anhsante sana kwa tahadhari, kama ni hivo huo mji ni wa hovyo sana. Mimi napendaga sana Dar ingawa siishi kule. Ni Jiji ambalo unaweza kujiachia just to your capacity.
 
Hizi nimesikiq sana hapo Dom
 
Sasa kwanini ukubali kuendeshwa na mlevi?
 
Anhsante sana kwa tahadhari, kama ni hivo huo mji ni wa hovyo sana. Mimi napendaga sana Dar ingawa siishi kule. Ni Jiji ambalo unaweza kujiachia just to your capacity.
Uwe nao makin sana mtumish

Mimi nimekaa hapo dodoma napajua na nina wajua

Vijana wengi sana tumepoteza kwa kuchomana visu dodoma
 
Ooh basi nikajua ulikuwa kidem chake
 
Nimekua muoga Sanaa na tangu nimepata ajari ningekua kaburini now...
Hii dunia hakuna binadamu special chochote kinaweza kukukuta muda wowote.
Kifo kipo busy hakisubir tumalize mishe Mishe zetu.
Kifo ni wajibu kikikuita HAUKATAI.

R.i.p mwekezaji kijana
 
Hii ajali imetokea Dodoma wapi na imesababishwa na nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…