TANZIA Mmiliki na Mkurugenzi wa Bar ya Chako ni Chako jijini Dodoma, God Makoi, afariki dunia kwa ajali ya gari

Pole kwa ndugu jamaa na marafiki
 
Kibosho-Moshi kuna fundi mmoja alikuwa anajenga bila kuwa na msaidizi.

Hii ni hulka ya Wachagga wengi haswa wa Kibosho. Kutaka kufanya kila jambo mwenyewe.
 
Poleni sana wafiwa. Ukishafikia level fulani ya mafanikio hupaswi kuwa unaendesha gari lako wewe mwenyewe unapaswa kuendeshwa na dereva mzoefu
Hakika Mkuu.. watu wengi wenye pesa wanapuuza jambo hili...

Kimsingi ukishafikia levo flani ya mafanikio tafuta dereva mzoefu na gari nzuri uwe unaendeshwa....

Hata yule mkurugenzi wa Sauli Co. Ltd... Ni haya haya ya kutokutaka uwe na dereva wako mwenyewe...
Anajikuta bahati mbaya amechoka na shughuli nyingi afu hapo hapo anakamata gari aendeshe... Tena gari zenyewe hizi za speed 240km/h..... Ni hatari sana
 
RIP mpambanaji...kwa jinsi barabara zetu zilivyo na madereva vichaa wasiozingatia uendeshaji salama,huwa napenda kuwausia vijana wangu waliojipata kiuchumi kuwa na permanent and experienced driver, hasa wanapokuwa kwenye safari ndefu.
 
Na hata kurudi usiku sana sio salama wahuni wako wengi njian
 
Imeandikwa "mwanamke mpumbavu uvunja ndoa yake mwenyewe"
 
Duh!
Kaondoka duniani na sifa yake kuu ni mfanyabiashara ya mabaa!!
 
RIP mpambanaji...kwa jinsi barabara zetu zilivyo na madereva vichaa wasiozingatia uendeshaji salama,huwa napenda kuwausia vijana wangu waliojipata kiuchumi kuwa na permanent and experienced driver, hasa wanapokuwa kwenye safari ndefu.
UMENIKUMBUSHA MBALI NA KIJANA JIRAN ANA MAWE WALIKUWA NA MGODI SIKU ANAERUDI AKATAKA COMP NKAMWAMBIA GARI NDOGO. SAFARI NDEFU SIPANDI

KACHOMOKA NANE ...ASBH TYNAMBIWA KATAMGULIA MBELE ZA HAKI SIKUAMINI...RANGE ILIKUWA KAMA MKONO..

NKASEMA KIJANA ALITAKA NTOA KAFARA NN
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…