TANZIA Mmiliki na Mkurugenzi wa Bar ya Chako ni Chako jijini Dodoma, God Makoi, afariki dunia kwa ajali ya gari

Hapo kama hakuwaandaa watoto ama Mke kwaajili ya uendelezaji wa biashara zake, ndiyo mwanzo wa mwisho wa hizo biashara zake

Poleni wote mlioguswa na Msiba wake, mbele yetu nyuma yake 😭😭

Kwa sisi tulio hai, tujiandae huku tukisikiliza wimbo wa "King Crazy GK~ Nitakufaje"

If I would have an option to choose, I will prefer dying during my sleep 🙏🙏
 
Watu wenye biashara na mishe mishe nyingi hiyo concentration unaipataje? Unadhani ni kwa nini hata serikalini wakurugenzi na ma CEOs wanaendeshwa? Ukiwa na uwezo make sure una kuwa na good driver hasa kwa safari ndefu, ili upate muda wa kujikita kwenye mishe mishe zako .
 
Wengi wetu hili ni changamoto. Tuwaombee aliowaacha nyuma. Maana naamini nyuma ameacha kilio kikubwa.
 
Kila leo nasema shida vipaumbele vya nchi,
Mkonga mmoja si chini ya mililon 130,je zinanunuliwa ngapi?Je serikali haiwezi acha nunua kwa angalau miaka minne halafu hiyo pesa ikajenge barabara.
Ajali nyingi shida ni barabara zetu kiasi cha kwamba madereva huchoka barabarani kwa foleni na uwembamba wa njia.au anaweza ona sehemu hatarishi na akaamua kukomaa.
R.I.P Mwekezaji.
 
Asante, tumeshapoa na tunaendelea na taratibu zingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…