TANZIA Mmiliki na Mkurugenzi wa Bar ya Chako ni Chako jijini Dodoma, God Makoi, afariki dunia kwa ajali ya gari

TANZIA Mmiliki na Mkurugenzi wa Bar ya Chako ni Chako jijini Dodoma, God Makoi, afariki dunia kwa ajali ya gari

Rip - hapo kinachofatia ni kugombania mali na mwisho chako ni chako itabaki jina hapa ndo tunajifunza success is about good management on top
Ila watanzania Jamani!!!

Yaani mwili hata haujapoa tayari mshaanza kuwazia jasho la mwenzenu?!

Pathetic!

Poleni sana wahusika Kwa msiba Huu, muumba awavushe salama katika hili.
 
Duh! Pole kwa wafiwa . Hii taarifa imeniletea kumbukumbu mbaya dah! Nimekumbuka hapo karibia na hizo studio za redio kama unaelekea uwanja jamhuri enyewe niliponea kifo hivi hivi na wenzangu tukiwa kwenye harrier baada ya mlevi alokuwa akituendesha kuivaa semi trailer kwa nyuma.
 
Kibosho-Moshi kuna fundi mmoja alikuwa anajenga bila kuwa na msaidizi.

Hii ni hulka ya Wachagga wengi haswa wa Kibosho. Kutaka kufanya kila jambo mwenye
Inawezekana ni ukweli ndo hulika ya huko kibosho kuna mzee mmoja namfahamu shughuli zake anafanya mwenyewe yeye meneja, yeye cashier, yeye supervisor, yeye auditor yaani ni full tafrani mkoloni huyo.
 
Pumzika mpambanaji, ulikuwa na ndoto nyingi sana.
Msiba uko nyumbani kwake Swaswa.

Alikuwa mmiliki wa Bar tatu maarufu jijini Dodoma.
1. Chako ni Chako
2. GM Sport & Bar (hii aliifunga ili kuifanyia marekebisho, na mpaka sasa iko kwenye matengenezo, so sad 😔😔)
3. The Avec hii imefunguliwa mwaka huu mwanzoni na ina vibe si la kitoto.

Mdogo sana, wa mwaka 88 au 89 kama sikosei.
Ajali inamaliza ndoto za vijana wengi Duniani.
View attachment 3142700
View attachment 3142627
View attachment 3142705
mkumbukeni Mungu mngali hai. imagine, unamiliki baa za malaya, walevi, unakufa bila kutubu, unapokelewa motoni moja kwa moja. unaungua milele. msije mkaja kusema hatukuwaambia. andaa maisha yako ya kesho, ya sasa yanapita.
 
Mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu mnachopitia😭😭😭

Yote ni mipango ya Mungu 🙏🙏
Amina
🙏🙏🙏🙏
Sijui wazazi wake wana hali gani jamani.
Hakuwahi kumaliza miezi 3 bila kwenda kwa wazazi wake.
Tangu nimemfahamu, hakuna Christmas na mwaka mpya aliyoilia Dodoma au Dar, ni kwa wazazi wake tu.
Huu msiba tunauona wa kawaida huku Dodoma, ila sijui hali ya kule kwao ipoje.
Mungu awape nguvu wazazi wake.
 
Duh! Pole kwa wafiwa . Hii taarifa imeniletea kumbukumbu mbaya dah! Nimekumbuka hapo karibia na hizo studio za redio kama unaelekea uwanja jamhuri enyewe niliponea kifo hivi hivi na wenzangu tukiwa kwenye harrier baada ya mlevi alokuwa akituendesha kuivaa semi trailer kwa nyuma.
Au pia nadhani Dodoma matuta ya barabarani hayapo ya kutosha au
 
Jamani muwe waangalifu sana barabarani maana sheria hazifuatwi kabisa huko
Ajali kila leo za kizembe sana zinatokea
Overtake mnatoka tu na bila kujua utavuka au la
Ukiendesha gari jione kama wewe ndio mzima na wengine wote wehu walioshika usukani
Kwa hiyo lazima uwe makini sana
Pole sana kwa wafiwa na walioguswa na msiba
 
Amina
🙏🙏🙏🙏
Sijui wazazi wake wana hali gani jamani.
Hakuwahi kumaliza miezi 3 bila kwenda kwa wazazi wake.
Tangu nimemfahamu, hakuna Christmas na mwaka mpya aliyoilia Dodoma au Dar, ni kwa wazazi wake tu.
Huu msiba tunauona wa kawaida huku Dodoma, ila sijui hali ya kule kwao ipoje.
Mungu awape nguvu wazazi wake.
Poleni sana

Msiba ukiisha nitakuja tuchome Kuku hapo kwake katika kumkumbuka mdau
 
Back
Top Bottom