TANZIA Mmiliki wa kampuni ya mabasi ya Tashrif, Hamoud Said Al Habsy afariki dunia

Sasa 10% mbona chache ..inabid upige pasu kwa pasu...eeehhhh PKP hiyo...hapo hata ukifa ukaviacha inakua kiroho safi
Itabidi niongeze ifike hata 40% kwa kweli.
Mimi nishazoe kwa hela yoyote ninayoingiza hata ikipitia benki natenga 10 percent yangu palepale ATM, hiyo hata ikiisha kwa siku 4 ndio kazi yake, siumii.
 
Kati ya mema yake 10,000 unakumbuka baya lake moja, ambalo hata inasemekama sio yeye. Binadamu wabaya na tuna chuki sizisoisha.
 
Itabidi niongeze ifike hata 40% kwa kweli.
Mimi nishazoe kwa hela yoyote ninayoingiza hata ikipitia benki natenga 10 percent yangu palepale ATM, hiyo hata ikiisha kwa siku 4 ndio kazi yake, siumii.
Hii nzuri sana..ila sema ukishakuabna majukum kama wengine hapa hii kitu inakua kaz balaa
 
Hii nzuri sana..ila sema ukishakuabna majukum kama wengine hapa hii kitu inakua kaz balaa
Ukishazoea haikupi shida. Ukipata 100,000 ya kimazabe unatenga 10,000 unaweka mfuko wa shati.
Baada ya hapo unaenda kwa wife kukumbushia mahitaji muhimu na kupiga mahesabu na kumwachia.

Mimi hata bia siwezi nikashindwa kunywa kwa sababu hela yote ina bajeti. ni lazima nitarekebisha mahesabu hela ya bia na nyama itapatikana tu itake isitake.

Kwanza nikinywa bia hata akili inachaji vizuri kubuni vyanzo vipya vya mapato.
 
Duh!!,Wazee wa kufukua makaburi ktk ubora wenu.
 
Ngozi nyeusi hatuna akili.
 
Apumzike kwa Amani!
Nachelea kukihusisha kifo chake na mfungo. Mfungo uzingatie umri, hali ya kiafya n.k. Waislamu wengi hupoteza maisha kipindi cha mfungo, kwani wanafanya mabadiliko ya vile mwili ulivyozoea kwa ghafla (abruptly), na pia kwa kiwango cha juu (severely). Kama kuna mushkeli ya kiafya, inakuwa ni sawa na kujiua mwenyewe.
 
Sahvi ni ungesikia ugomvi wa Mali
Kama watoto wa mabilionea arusha na moshi

Ova
 
Inauma sana
 
INNA LILLAHI WAINNA ILLAHI RAJIUN
 
Mto Msangazi, nilikuwepo pale that day. One of our staff made great efforts to swim and she saved some lives. It was a very sad moment! One of our RAAWU chairperson perished in the drown!
Kama ujui kuandika kiswahili inatafuta nn hapa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…