TANZIA Mmiliki wa kampuni ya mabasi ya Tashrif, Hamoud Said Al Habsy afariki dunia

Huko ndio balaa

Nipe mifano miwili tu wa hao waswahili wasio wa Uswazi ambai walijufa na hakukuwa na shida kwenye mirathi
Siwezi kuongea Sana Ila Kama hujawahi kuona familia za namna hiyo basi sikulaumu maana sikujui.

Lakini nakwambia Tena zipo nyingi tu na pia hao unaosema hawana zogo Ni kwamba mtizamo wako Ila kiuhalisia wapo wenye mazonge vile vile!

Naongea ninachokifahamu..kukiona na kupata funzo ..., Kuna mengi sema yanafichwa na kwa mtu Baki si rahisi kufahamu.

La muhimu Ni mtu kuweka Mambo sawa mapema ili utakapo ondoka uache maisha salama...na ndio wengi wanaojielewa wanafanya!
 
Commerce na bookeeping inawasaidia sana
 
Ile haikuwa shengena kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…