Mungu anajua kuwaumbua qmmk hawawezi kujitenga na walanguziView attachment 3439412
Mfanyabishara na Mmiliki wa Kampuni ya PAP, Habinder Seth akiwa katika hafla ya harambee ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuchangia fedha za Uchaguzi Mkuu
View attachment 3439412
Mfanyabishara na Mmiliki wa Kampuni ya PAP, Habinder Seth akiwa katika hafla ya harambee ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuchangia fedha za Uchaguzi Mkuu
Lile gawio la Ruge liliwekwa wazi. La Singasinga likabaki kuwa siri sirini. Si majina wala idadi ya pesa vilijulikana.Seth hakugawa ila yule Bilionea wa kihaya Mh Ruge aligawia hadi wanaparokia 😂
Hakuachiwa huru, alikiri makosa wakamalizana na DPP nje ya mahakama.Kwani Kuna shida gani? Yule aliyemuwekaga jela alishindwa Kumfikisha kizimbani Hadi akaachiwa huru.
Toa ujinga wako alikiri makosa gani? Sheria namba ngapi inasema ukikiri. makosa mnamalizana?Hakuachiwa huru, alikiri makosa wakamalizana na DPP nje ya mahakama.
Huyu tapeli haruhusiwi kukanyaga Kenya.
Magufuli aliweka wezi wote ndani Magu alikua mwamba sana hakuna aliyekua mkubwa zaidi za serikaliHawa watu hawana tena uoga wowote.
Mshauri huyo tapeli akadai kurejeshewa pesa aliyolipa.Toa ujinga wako alikiri makosa gani? Sheria namba ngapi inasema ukikiri. makosa mnamalizana?
Akitoka SSH yanakuja majitu mengine ya hovyo Kuharibu uchumi tena.
Tayari ugomvi ulishaamuliwa hata hivyo Samia aliwarejesha wote walioporwa kuanzia wa bureau de Change Hadi waliobambiliwa kesi.Mshauri huyo tapeli akadai kurejeshewa pesa aliyolipa.
Samia na uchumi wapi na wapi! 😆😆
Magu alimtoa PURUView attachment 3439412
Mfanyabishara na Mmiliki wa Kampuni ya PAP, Habinder Seth akiwa katika hafla ya harambee ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuchangia fedha za Uchaguzi Mkuu
Mbona alipandishwa kizimbani mara nyingi tu. Alokuja kutoka wakati wa Samia baada ya kukiri kosa na kutakiwa kulipa mabilioni, alilipa kadhaa na kuahidi kumaliziaKwani Kuna shida gani? Yule aliyemuwekaga jela alishindwa Kumfikisha kizimbani Hadi akaachiwa huru.
Kizimba kiliamua Kua ana kesi gani? Kosa gani alilokiri?Mbona alipandishwa kizimbani mara nyingi tu. Alokuja kutoka wakati wa Samia baada ya kukiri kosa na kutakiwa kulipa mabilioni, alilipa kadhaa na kuahidi kumalizia
Alikiri kosa kwa sheria ya plea bargain, na alilipa kiasi kadhaa na kutakiwa kumalizia kingine baada ya mudaToa ujinga wako alikiri makosa gani? Sheria namba ngapi inasema ukikiri. makosa mnamalizana?
Ndio maana mnapukutika mmja baada ya mwingine Kwa kudhukumu watu.
Akitoka SSH yanakuja majitu mengine ya hovyo Kuharibu uchumi tena.
Mwisho wa Siku Mwendazake alishaoza huko.Magufuli alimuweka mahabusu huyu Singasinga ujue.
Ila Magu duuuuuuuh