PostGE2025 ‘Mmiliki’ wa mabasi ya Esther: Kampuni imehusishwa kimakosa na wanasiasa. Walivamia na kuchukua fedha, tulipata hasara ya Bilioni 2.1

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
1,170
Reaction score
3,743
Mtu mmoja aliyejitambulisha kama mmiliki wa magari ya Esther Joseph Didas Ngelewiya akiongea na wanahabari hivi karibuni alisema:

“Mimi ndiye mmiliki wa mabasi ya Esther Luxury Coach, hivi karibuni kampuni yangu imehusishwa kimakosa na baadhi ya viongozi wakuu wa kisiasa hapa nchini kwa madai ya kuwa inamilikiwa na mheshimiwa Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba. Walivamia na kukuta fedha ambazo zilikuwepo pale na kuzichukua, Tulikuta hasara kama ya shilingi bilioni 2.1”

ongo siku zote walikuwa wapi ?
 
Faki the mazafaka! Kwani hiyo office ni tawi la bank mpaka ikae na kiasi hicho cha fedha taslimu?
 
Mtu mmoja aliyejitambulisha kama mmiliki wa magari ya Esther Joseph Didas Ngelewiya akiongea na wanahabari hivi karibuni alisema:

“Mimi ndiye mmiliki wa mabasi ya Esther Luxury Coach, hivi karibuni kampuni yangu imehusishwa kimakosa na baadhi ya viongozi wakuu wa kisiasa hapa nchini kwa madai ya kuwa inamilikiwa na mheshimiwa Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba. Walivamia na kukuta fedha ambazo zilikuwepo pale na kuzichukua, Tulikuta hasara kama ya shilingi bilioni 2.1”

Ushalipwa baada ya wiki kadhaa za kupangwa ! Mfiwa Huwa analia siku ileile ya msiba wewe umekaa wiki tatu ndio unakuja kujiliza Leo. Tunaijua hiyooo!
Kampuni mali yako inakuwaje maelezo yake unayasoma kwenye karatasi!

Ktk maelezo hayo kasema alisajili kampuni hiyo mwezi Desemba 2024, ukweli ni upi kuhusu mabasi ya Ester yaliyokuwepo kabla ya huo usajili wake wa Desemba? Je ni ya nani hayo ya August 2024 kurudi nyuma 2023,2022 nk
 
Mtu mmoja aliyejitambulisha kama mmiliki wa magari ya Esther Joseph Didas Ngelewiya akiongea na wanahabari hivi karibuni alisema:

“Mimi ndiye mmiliki wa mabasi ya Esther Luxury Coach, hivi karibuni kampuni yangu imehusishwa kimakosa na baadhi ya viongozi wakuu wa kisiasa hapa nchini kwa madai ya kuwa inamilikiwa na mheshimiwa Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba. Walivamia na kukuta fedha ambazo zilikuwepo pale na kuzichukua, Tulikuta hasara kama ya shilingi bilioni 2.1”

mmiliki.....ndio aandikiwe na kusoma neno baada ya neno
 
Mtu mmoja aliyejitambulisha kama mmiliki wa magari ya Esther Joseph Didas Ngelewiya akiongea na wanahabari hivi karibuni alisema:

“Mimi ndiye mmiliki wa mabasi ya Esther Luxury Coach, hivi karibuni kampuni yangu imehusishwa kimakosa na baadhi ya viongozi wakuu wa kisiasa hapa nchini kwa madai ya kuwa inamilikiwa na mheshimiwa Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba. Walivamia na kukuta fedha ambazo zilikuwepo pale na kuzichukua, Tulikuta hasara kama ya shilingi bilioni 2.1”

Wadanganye Wajinga wenzio
 
Siku zote walikuwa Wana safiria Jina la kwamba mmiliki WA Esther ni mwigulu Nchemba , na trafiki hawawashiki sasa Leo imekuwaje hiyo Nyota kuwa Mbaya
Nikama majuzi liletoto shenzi Riziwani linakanusha kuhusu lake oil ...swali siku zote miaka na miaka alikuwa wapi? WANATUONA WATANZANIA MAFARA SANA AU?
 
Mtu mmoja aliyejitambulisha kama mmiliki wa magari ya Esther Joseph Didas Ngelewiya akiongea na wanahabari hivi karibuni alisema:

“Mimi ndiye mmiliki wa mabasi ya Esther Luxury Coach, hivi karibuni kampuni yangu imehusishwa kimakosa na baadhi ya viongozi wakuu wa kisiasa hapa nchini kwa madai ya kuwa inamilikiwa na mheshimiwa Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba. Walivamia na kukuta fedha ambazo zilikuwepo pale na kuzichukua, Tulikuta hasara kama ya shilingi bilioni 2.1”

Mtu mmoja aliyejitambulisha kama mmiliki wa magari ya Esther Joseph Didas Ngelewiya akiongea na wanahabari hivi karibuni alisema:

“Mimi ndiye mmiliki wa mabasi ya Esther Luxury Coach, hivi karibuni kampuni yangu imehusishwa kimakosa na baadhi ya viongozi wakuu wa kisiasa hapa nchini kwa madai ya kuwa inamilikiwa na mheshimiwa Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba. Walivamia na kukuta fedha ambazo zilikuwepo pale na kuzichukua, Tulikuta hasara kama ya shilingi bilioni 2.1”

Huyu Mwigulu Nchemba bhana, ni msanii, mwizi na tapeli kabisa...

Hata ile Timu ya mpira wa miguu Singida Big Star atoke aje aikane kuwa si yake, Kisha tumuumbue na kumtoa nishai...

Kampuni ya Mabasi ya Esther + Timu ya mpira, zote ziliibuka mara baada ya jamaa kuwa Waziri kuanzia ile ya ya mapolisi na baadae Wizara ya Fedha...

Mwaka 2022 aliingiza mabasi 60 mapya kwa mpigo toka China...

Halafu huyu mjinga anasema, eti ni kampuni yake na amesajili hii mwaka 2024. Big contradiction....!!!

Mwigulu Nchemba, Alexander Mnyeti, Paul Makonda, Ole Lengai Sabaya na yule wa Iringa ambaye sasa hivi sijui ana cheo gani huko CCM ni matapeli na mafisadi wa kutisha wa mali ya umma na ndiyo wauaji wakubwa wanaomiliki vikundi vya utekaji. Hawa wanaopaswa kuwa Ukonga au Segerea gerezani wakisubiri kunyongwa...

All in all, katika wote hawa aliye bado kwenye system ya serikali moja kwa Moja ni Mwigulu Nchemba na ndiye chanzo cha balaa la mauaji na uharibifu wa mali 29/10 - 3/11/2025 kwa sababu anakulaga visivyo vyake bila kuosha mdomo watu wakiwa wanamchora tu....

Sasa hivi anahaha kwelikweli kujaribu kupotezea kwa kubwega barabarani hovyo akijiona ni Waziri Mkuu kumbe ni takataka tu...

Alexander Mnyeti, mshenzi yule maana walikuwaga wanatumiwa mbinu za kufanana kuua na kuibia watu na serikali yeye, Makonda na Ole Lengai Sabaya. Sasa hivi Alexander Mnyeti ni matako tu na timu yake ya Gwambina kule (Misungwi - Mwanza) ilishakufa kwa sbb boss wao naye amekufa kiuchumi kwa kuwa mirija ya Fedha ilikatwa...

Paul Makonda hana access ya moja kwa moja serikalini. Ila liliua watu wengi na kuwaibia sana tena kwa ubabe likiwa ni RC wa DSM wakati wa godfather wake John P. Magufuli. Baada ya kufa mungu wao, wakatupwa nje ya mifumo..

Ole Lengai Sabaya yeye mpumbavu. Alikuwa anakula bila kusafisha midomo. Na bahati mbaya sana alikuwa anakula za wachagga. Godfather wake alipodedi tu, naye akawa ameishia hapo...

Huyu Mwigulu Nchemba naye akitoka serikalini tu, atabaki matako nje. Kampuni ya Mabasi ya Esther, Timu zake za mpira na biashara zake zote alizoanzisha kwa fedha za kuibia umma wa Tanzania zitakufa na kurudi zilikotoka....

Ni kwa sbb mali iliyopatikana kwa dhuluma na wizi, kamwe huwa haidumu. Muda ukifika, hurudi kwa wenyewe....!
 
Back
Top Bottom