PostGE2025 ‘Mmiliki’ wa mabasi ya Esther: Kampuni imehusishwa kimakosa na wanasiasa. Walivamia na kuchukua fedha, tulipata hasara ya Bilioni 2.1

PostGE2025 ‘Mmiliki’ wa mabasi ya Esther: Kampuni imehusishwa kimakosa na wanasiasa. Walivamia na kuchukua fedha, tulipata hasara ya Bilioni 2.1

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Jiulizeni.
Tanzania kuna kampuni ngapi za mabasi, why ester lakshari?
Tanzania kuna kampuni ngapi mafuta,
Why lake oil. Vituo 38 miji mbali mbali.
Hata baadhi ya wafanyakazi wenu wanaoingia board room zenu mki diskas wana divulge vital information kwa watu wao wa karibu.
Watu wanajua usione wakinyamaza.
Kama leo una cheo kikubwa mbunge au waziri, mambo yako uliyofanya gesti au kwa waganga au sirini watu wanayajua. Usifikiri hawajui.
Mfano mzuri ni huyu
 
unajua maaana ya ushahidi weka documents hapa za mmiliki halisi
Documents gani boss, yaani mali za wizi utaweka jina lako? Kama tume ya uchaguzi imetangaza matokea fake, na bado watu wakapata ujasiri wa kuua waaandamanani, ni documents gani unahitaji? Leo hii Mwigulu atolewe madarakani ama afariki lazima hiyo kampuni ikae kwa kutulia. Unataka documents kwa uadilifu gani uliokuwepo huko serakalini?
 
Tunajua esta ni ya nani.. hii michezo mnayofanya pelekeni sinema zetu
Michezo ya kitoto. Wote waliopitiwa na vijana October 29, wanajitokeza sasa hivi kusema wamepata hasara ya kiasi gani! Naona kuna fidia inataka kutoka, wanataka kupiga hela na huko kwenye fidia. TUNAJUA MNALENGA KUFIDIWA NA SERIKALI. MNAINFLATE HASARA MPIGE HELA KAMA KAWAIDA YENU.
 
Nikama majuzi liletoto shenzi Riziwani linakanusha kuhusu lake oil ...swali siku zote miaka na miaka alikuwa wapi? WANATUONA WATANZANIA MAFARA SANA AU?
Yani Mr ‘Guys Guys’ ndio anaongoza kwa kuonaga Watanzania ni wajinga. Hii ni mbinu yake kabisaaa. Huyu kaka natamani ajue kuwa sisi si wapumbavu jamani.
 
Haujielewi wewe.
Kipi rahisi kupeleka benki Kila siku.au kukusanya mapato yote ofisi Moja?
Yaani kila siku muwe mnaenda benki!?..we fala kweli,ushawahi miliki hata genge?..kila siku benki si mtakabwa kila siku
 
Yaani kila siku muwe mnaenda benki!?..we fala kweli,ushawahi miliki hata genge?..kila siku benki si mtakabwa kila siku
Kwa hyo ulivyomuuliza huyo mmiliki wa ester.hayo ni mapato ya siku ngapi?
Hivi unajua hayo mapato ya billion 2.1 ni sawa na mapambo ya mwaka mzima?
 
Kwa hyo ulivyomuuliza huyo mmiliki wa ester.hayo ni mapato ya siku ngapi?
Hivi unajua hayo mapato ya billion 2.1 ni sawa na mapambo ya mwaka mzima?
Esther ana gari ngapi, zinaenda wapi,gari moja safari moja mapato kiasi gani?..siyo unakurupuka tu
 
Esther ana gari ngapi, zinaenda wapi,gari moja safari moja mapato kiasi gani?..siyo unakurupuka tu
Nimekuuliza hayo ni mapato ya muda gani?
Hivi Kwa akili Yako Kuna bima inaweza kulipa hela hizo?
 
Nimekuuliza hayo ni mapato ya muda gani?
Hivi Kwa akili Yako Kuna bima inaweza kulipa hela hizo?
Si ungemuuliza aliyesema,mtu kasema hela zake zilizokuwepo ofisini,we hutaki unadai haziwezi fika kiasi hicho,una akili kweli!?
 
Si ungemuuliza aliyesema,mtu kasema hela zake zilizokuwepo ofisini,we hutaki unadai haziwezi fika kiasi hicho,una akili kweli!?
🤣🤣🤣.Michezo ya kizamani hyo.sio Dunia ya Sasa.
Hakuna bima yoyote itakayolipa huo upumbavu
 
Unaweza kudhani hizi number wanazikuza kisiasa, wakati agenda kubwa ni mpango wa insurance fraud. Hawa watu kila wasaa wanatafuta fursa ya kujineemesha ilipo.
Sahihi kabisa. Na sitashangaa mlengwa na muathirika mkubwa ni NIC.
 
Back
Top Bottom