PostGE2025 ‘Mmiliki’ wa mabasi ya Esther: Kampuni imehusishwa kimakosa na wanasiasa. Walivamia na kuchukua fedha, tulipata hasara ya Bilioni 2.1

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Kama ni kweli hiyo kampuni imehusishwa na wanasiasa kimakosa Cha kumshauri abadilishe jina la kampuni ili isije kujirudia hicho kitu maana tarehe 12/1/2026 tutaanza tena mchakamchaka kumtoa dikteta
 
Unapokua mtu na akili timamu ukiwa unabisha unakuja na evidence, kwa mfano usajili wa brela, akaunti za mlipa kodi apo ndo unaonekana akili ziko timamu
Nikupe ushahidi na ikikupendeza kahakiki pale brela. Kampuni ya Ester luxury bus ni ya madelu. Jina la ester ni la mama yake mlezi ambaye alimlea tangu anasoma na Wala siyo la mke wake. Hapo kwa kusajili kampuni kwa mama mlezi kacheza Kama Hakin wa Morocco siyo maana mchaga angemfyekelea mbali! Anayejinasibisha Kama mwenye mali ni shemeji yaani kaka wa mke.
Kakosea sana kutaja kiwango kile Cha pesa kwani katika Sheria za fedha hutakiwi kuzidisha laki Tano na zikizidi upeleke benki. Bima hawatauvaa huo mkenge.
 
unajua maaana ya ushahidi weka documents hapa za mmiliki halisi
 
Nimekutajia jina la aliyesajiliwa hivyo ni juu yako kuhakiki. Usipende kuwa spoonfeeded Kama kichanga wewe mstaafu! Hii njia mnayotumia kupigana vitana kuwaletea wezi ushindi mtausikia.
 
unaelewa ukiwambiwa weka documents?
 
The shadow imejitokeza kusimamia maslahi ya mvaa skafu
 
amesema hasara yawezekana ndani ya hiyo 2b
Wewe hii umeisikia kutoka kwenye videoclip gani? Kitu gani kimemfanya ashindwe kuongea with clarity? Huyo mazafaka ni dummy owner (sio true owner) wa hiyo kampuni. Michezo yote ya kipumbavu tunaijua!
 
Back
Top Bottom