PostGE2025 ‘Mmiliki’ wa mabasi ya Esther: Kampuni imehusishwa kimakosa na wanasiasa. Walivamia na kuchukua fedha, tulipata hasara ya Bilioni 2.1

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
😁😁😁
1766882232624.jpg
 
Mtu mmoja aliyejitambulisha kama mmiliki wa magari ya Esther Joseph Didas Ngelewiya akiongea na wanahabari hivi karibuni alisema:

“Mimi ndiye mmiliki wa mabasi ya Esther Luxury Coach, hivi karibuni kampuni yangu imehusishwa kimakosa na baadhi ya viongozi wakuu wa kisiasa hapa nchini kwa madai ya kuwa inamilikiwa na mheshimiwa Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba. Walivamia na kukuta fedha ambazo zilikuwepo pale na kuzichukua, Tulikuta hasara kama ya shilingi bilioni 2.1”

Tatizo watengeneza maudhui hawajui kuyatengeneza
 
Mtu mmoja aliyejitambulisha kama mmiliki wa magari ya Esther Joseph Didas Ngelewiya akiongea na wanahabari hivi karibuni alisema:

“Mimi ndiye mmiliki wa mabasi ya Esther Luxury Coach, hivi karibuni kampuni yangu imehusishwa kimakosa na baadhi ya viongozi wakuu wa kisiasa hapa nchini kwa madai ya kuwa inamilikiwa na mheshimiwa Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba. Walivamia na kukuta fedha ambazo zilikuwepo pale na kuzichukua, Tulikuta hasara kama ya shilingi bilioni 2.1”

Kijana ana umri usiozidi miaka 40,huo ukwasi kaupata wapi?
Hii ni old trick, watu wote si wajinga, anachukuliwa kijana anapewa mtaji na fedha za wizi na wanasiasa, hakafu abaambiwa endesha kampuni.
 
Post nyingi zimejaa chuki na hasira za wazi wazi. Sipend Wala sitasapoti ufisadi ila kukurupuka huku kwa kukosa akili na kufata maneno ya baadhi ya viongozi wa dini nakuanza kuharibu mali za watu ni ujuha na mwisho wake wote tumeuona.
 
Mtu mmoja aliyejitambulisha kama mmiliki wa magari ya Esther Joseph Didas Ngelewiya akiongea na wanahabari hivi karibuni alisema:

“Mimi ndiye mmiliki wa mabasi ya Esther Luxury Coach, hivi karibuni kampuni yangu imehusishwa kimakosa na baadhi ya viongozi wakuu wa kisiasa hapa nchini kwa madai ya kuwa inamilikiwa na mheshimiwa Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba. Walivamia na kukuta fedha ambazo zilikuwepo pale na kuzichukua, Tulikuta hasara kama ya shilingi bilioni 2.1”

Hawajui kuwa ni makosa kukaa na pesa nyingi kiasi hicho.
 
Mtu mmoja aliyejitambulisha kama mmiliki wa magari ya Esther Joseph Didas Ngelewiya akiongea na wanahabari hivi karibuni alisema:

“Mimi ndiye mmiliki wa mabasi ya Esther Luxury Coach, hivi karibuni kampuni yangu imehusishwa kimakosa na baadhi ya viongozi wakuu wa kisiasa hapa nchini kwa madai ya kuwa inamilikiwa na mheshimiwa Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba. Walivamia na kukuta fedha ambazo zilikuwepo pale na kuzichukua, Tulikuta hasara kama ya shilingi bilioni 2.1”

Kichekesho kweli. Mmiliki atakuwa huyu? 😂 😂 😂 😂
Nchi hii ingekuwa kwenye king'amuzi ingekuwa cheneli ya vichekesho 😂 😂 😂
 
Post nyingi zimejaa chuki na hasira za wazi wazi. Sipend Wala sitasapoti ufisadi ila kukurupuka huku kwa kukosa akili na kufata maneno ya baadhi ya viongozi wa dini nakuanza kuharibu mali za watu ni ujuha na mwisho wake wote tumeuona.
Tuliza wezere huko
 
Yaani mzigo WOTE huu ulikuwa ofisini.🤣🤣🤣.oya kuweni serious kidogo
 
Attachments

  • IMG-20220211-WA0056.jpg
    IMG-20220211-WA0056.jpg
    76.4 KB · Views: 11
Back
Top Bottom