mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 47,054
- 58,689
Hapo wanatafutwa BIMAWawanatamanisha majambazi ya policcm tu.
Hapo wanatafutwa BIMAWawanatamanisha majambazi ya policcm tu.
Unapokua mtu na akili timamu ukiwa unabisha unakuja na evidence, kwa mfano usajili wa brela, akaunti za mlipa kodi apo ndo unaonekana akili ziko timamuFuatilia au leta nyaraka inayo pingana na nilicho andika
Wamekwambia wana-bank pesa zao kila siku au baada ya muda maalum?😂😂😂.hivi billion 2.1 ana zijua huyo ?.
Hayo ni mapato ya ofisi Moja ya ester?basi kumbe hii nchi ina matajiri.
Ni mapato ya siku moja?
Kapuku huwez elewa kituFaki the mazafaka! Kwani hiyo office ni tawi la bank mpaka ikae na kiasi hicho cha fedha taslimu?
Mkuu unashangaa ofisi kukaa na pesa, awamu hii watumishi wa Umma wanakaa na mabilion Majumbani mwao.Faki the mazafaka! Kwani hiyo office ni tawi la bank mpaka ikae na kiasi hicho cha fedha taslimu?
Kweli .kuu hata Samuya anaiba pesa za Watanganyika na kujenga Mahoteli na Uwaja wa mpira kwa Kizimkazi, Magufuli yeye alijenga miradi chato na hakujenga Miradi ya Mbunga za Wanyama, Uwanja wa ndege, kwenye Viwanja vyake na ndiyo maana miradi imebakia ni ya Serikali na Wananchi, Sasa huyu Samuya ana jenga Uwanja wa mpira na hoteli kwenye eneo lake ina maana Viingilio vyote ya Uwanjani pesa zinaingia kwenye Mfuko wake, Ninavyojua mimi Viongozi wakijenga Uwanja wa muchezo, Hospital wanajenga kwenye eneo la Serikali na siyo kwenye eneo la mtu, Mfano Magufuli alivyoanzisha mbuga ya wanyama alianzisha kwenye ifadhi ya Serikali na hajaazisha ifadhi kwenye eneo la Familia yake.Huyu Mwigulu Nchemba bhana, ni msanii, mwizi na tapeli kabisa...
Hata ile Timu ya mpira wa miguu Singida Big Star atoke aje aikane kuwa si yake, Kisha tumuumbue na kumtoa nishai...
Kampuni ya Mabasi ya Esther + Timu ya mpira, zote ziliibuka mara baada ya jamaa kuwa Waziri kuanzia ile ya ya mapolisi na baadae Wizara ya Fedha...
Mwaka 2022 aliingiza mabasi 60 mapya kwa mpigo toka China...
Halafu huyu mjinga anasema, eti ni kampuni yake na amesajili hii mwaka 2024. Big contradiction....!!!
Mwigulu Nchemba, Alexander Mnyeti, Paul Makonda, Ole Lengai Sabaya na yule wa Iringa ambaye sasa hivi sijui ana cheo gani huko CCM ni matapeli na mafisadi wa kutisha wa mali ya umma na ndiyo wauaji wakubwa wanaomiliki vikundi vya utekaji. Hawa wanaopaswa kuwa Ukonga au Segerea gerezani wakisubiri kunyongwa...
All in all, katika wote hawa aliye bado kwenye system ya serikali moja kwa Moja ni Mwigulu Nchemba na ndiye chanzo cha balaa la mauaji na uharibifu wa mali 29/10 - 3/11/2025 kwa sababu anakulaga visivyo vyake bila kuosha mdomo watu wakiwa wanamchora tu....
Sasa hivi anahaha kwelikweli kujaribu kupotezea kwa kubwega barabarani hovyo akijiona ni Waziri Mkuu kumbe ni takataka tu...
Alexander Mnyeti, mshenzi yule maana walikuwaga wanatumiwa mbinu za kufanana kuua na kuibia watu na serikali yeye, Makonda na Ole Lengai Sabaya. Sasa hivi Alexander Mnyeti ni matako tu na timu yake ya Gwambina kule (Misungwi - Mwanza) ilishakufa kwa sbb boss wao naye amekufa kiuchumi kwa kuwa mirija ya Fedha ilikatwa...
Paul Makonda hana access ya moja kwa moja serikalini. Ila liliua watu wengi na kuwaibia sana tena kwa ubabe likiwa ni RC wa DSM wakati wa godfather wake John P. Magufuli. Baada ya kufa mungu wao, wakatupwa nje ya mifumo..
Ole Lengai Sabaya yeye mpumbavu. Alikuwa anakula bila kusafisha midomo. Na bahati mbaya sana alikuwa anakula za wachagga. Godfather wake alipodedi tu, naye akawa ameishia hapo...
Huyu Mwigulu Nchemba naye akitoka serikalini tu, atabaki matako nje. Kampuni ya Mabasi ya Esther, Timu zake za mpira na biashara zake zote alizoanzisha kwa fedha za kuibia umma wa Tanzania zitakufa na kurudi zilikotoka....
Ni kwa sbb mali iliyopatikana kwa dhuluma na wizi, kamwe huwa haidumu. Muda ukifika, hurudi kwa wenyewe....!
Dunia ya Sasa hauwezi kukaa na pesa nyingi kiasi hicho ofisini.Wamekwambia wana-bank pesa zao kila siku au baada ya muda maalum?
Umekuja na evidence ipi kukanusha nilicho andika hapoUnapokua mtu na akili timamu ukiwa unabisha unakuja na evidence, kwa mfano usajili wa brela, akaunti za mlipa kodi apo ndo unaonekana akili ziko timamu
yeye amekuja amesema ndo mwenye mabasi wewe unasema sio, toa sasa huo ushahidi kuonyesha sio huna, unataka tukuamini vpUmekuja na evidence ipi kukanusha nilicho andika hapo
Nilijua upo kati ya wale wenye high level of clearance na mambo ya mifumo kumbe ni above you pay grade? Endelea kusubiri ushahidi hapa.yeye amekuja amesema ndo mwenye mabasi wewe unasema sio, toa sasa huo ushahidi kuonyesha sio huna, unataka tukuamini vp
kumbe ushahidi hata hamna 🤣 🤣 , kwahio nyie ni wahalifuNilijua upo kati ya wale wenye high level of clearance na mambo ya mifumo kumbe ni above you pay grade? Endelea kusubiri ushahidi hapa.
Sa mbona unasoma document🤣🤣🤣Mtu mmoja aliyejitambulisha kama mmiliki wa magari ya Esther Joseph Didas Ngelewiya akiongea na wanahabari hivi karibuni alisema:
“Mimi ndiye mmiliki wa mabasi ya Esther Luxury Coach, hivi karibuni kampuni yangu imehusishwa kimakosa na baadhi ya viongozi wakuu wa kisiasa hapa nchini kwa madai ya kuwa inamilikiwa na mheshimiwa Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba. Walivamia na kukuta fedha ambazo zilikuwepo pale na kuzichukua, Tulikuta hasara kama ya shilingi bilioni 2.1”
Faki the mazafaka! Kwani hiyo office ni tawi la bank mpaka ikae na kiasi hicho cha fedha taslimu?
Mtu mmoja aliyejitambulisha kama mmiliki wa magari ya Esther Joseph Didas Ngelewiya akiongea na wanahabari hivi karibuni alisema:
“Mimi ndiye mmiliki wa mabasi ya Esther Luxury Coach, hivi karibuni kampuni yangu imehusishwa kimakosa na baadhi ya viongozi wakuu wa kisiasa hapa nchini kwa madai ya kuwa inamilikiwa na mheshimiwa Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba. Walivamia na kukuta fedha ambazo zilikuwepo pale na kuzichukua, Tulikuta hasara kama ya shilingi bilioni 2.1”
Nanunua, msikilize vizuri anasema alianza mwanzo na hadi alipo sasa. Hakuna kampuni.Ameinunua mkuu.
Mtu mmoja aliyejitambulisha kama mmiliki wa magari ya Esther Joseph Didas Ngelewiya akiongea na wanahabari hivi karibuni alisema:
“Mimi ndiye mmiliki wa mabasi ya Esther Luxury Coach, hivi karibuni kampuni yangu imehusishwa kimakosa na baadhi ya viongozi wakuu wa kisiasa hapa nchini kwa madai ya kuwa inamilikiwa na mheshimiwa Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba. Walivamia na kukuta fedha ambazo zilikuwepo pale na kuzichukua, Tulikuta hasara kama ya shilingi bilioni 2.1”
Sasa hivi mwigulu anajenga sheli akimtumia injinia fulani.Huyu ni mmiliki wa kubumba. Waandamanaji walijua wanachokifanya
Wanazidi kutupandisha hasiraTunajua esta ni ya nani.. hii michezo mnayofanya pelekeni sinema zetu