johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Comfort yalikuwa ya Anderson Mwanyato ila.alifariki na Biashara zikafaSawa sawa mkuu.
Nilifikiri ndio huyu, na mabasi ya comfort, Upendo sijui yalifia wapi
Nakumbuka ile Landover 110 iliyombutua ilipinda kama imegonga mnaziWidambe alikuwa na utajiri wa masharti. Nakumbuka alikufa kwa ajali ya gari alipokuwa anaufuatilia mkokoteni uliobeba mali zake. Imagine tajiri una mabasi lakini unakodi mokoteni
Sawa Lameck Madelu tumekusomaBaada ya uzushi na upotoshaji wa muda mrefu, niliamua kuingia chimbo kutafuta ukweli wa nani ni mmliki wa Mabasi hayo.
Nimekuja na facts ambazo Kila mwenye akili timamu anaweza kuzipata mwenyewe maana zinapatika Kila mahali.
Mmiliki wa Mabasi ya Esther Luxury Buses ni Mtanzania Mwenzetu kijana Mpambanaji wa siku nyingi katika biashara ya Mabasi, anamiliki Mabasi aina tofauti tofauti zikiwemo basi zikizokuwa zikihusishwa na Mwanasiasa mmoja hapa Nchini.
Mmliki ni Ndugu Joseph Didas Ngeleuya, P.O. Box 71392, Dar es Salaam. 4463. Plot No. 746
Case Closed. Tuache kuzusha mambo.
View attachment 2459930View attachment 2459931View attachment 2459932View attachment 2459933
Upendo bado yapoSawa sawa mkuu.
Nilifikiri ndio huyu, na mabasi ya comfort, Upendo sijui yalifia wapi
Ya Wizara ya KilimoNakumbuka ile Landover 110 iliyombutua ilipinda kama imegonga mnazi
Machame ExpressSawa Lameck Madelu tumekusoma
Umaskini utakuua
Mwigulu akimiliki wewe kinakuwasha nini?
Sifa ya mtu mwenye pepo la umaskini ni kushinda akiongelea matajiri negatively
Hapahitajiki nabii kukujua kuwa wewe lofa ambaye umepigika kimaisha choka mbaya wewe
Nenda kwa Mwamposya akalikemee hilo pepo lako la umaskini ukutoke
Nafikiri ni haki ya kila mwananchi kuhoji kitu chochote anachokitilia mashaka, na kinachotakiwa siyo kumtukana anayehoji au kumwambia ana wivu bali kuja na maelezo jinsi Ndugai na Mwigulu walivyopata uwezo wa kumiliki mali au biashara kubwa kama hizo. Ikielezwa kila mtu ataona nayeamini ataamini asiyeamini hataamini, lakini kuwakingia kifua ni dalili ya kuonyesha huend kuna kaaukweli.Nafikiri ni vizuri kujuwa mali na uwezo wa viongozi kwa sababu viongozi wanatakiwa kuweka wazi mali zao. Hili ni hitaji la katiba. Kujuwa hilo ni muhimu ili kuzuia viongozi kutumia mianya yao kujilimbikizia mali kwa njia zisizo halali. Umesema ikiwa ni mali ya Ndugai na Mwigulu kuna ubaya gani. Hakuna ubaya kama wahusika wataweza kuonyesha pesa wamepata wapi nje ya mishahara yao kuweza kuwa na mali za mabilioni. Mwigulu na Ndugao tunawajuwa na wametoka familia maskini, itakuwaje baada ya muda mfupi katika siasa wapate hizo mali?
Mali za Wakinga ziangalie hivyo hivyo ila ni mateso matupu, zote ni mauzauza tu. Unakuta mtu ana hoteli ya kisasa lakini analala kwenye chumba cha stoo na maboxNakumbuka ile Landover 110 iliyombutua ilipinda kama imegonga mnazi
Bora niwe lofa kuliko huo utajiri wa kishetani.Mali za Wakinga ziangalie hivyo hivyo ila ni mateso matupu, zote ni mauzauza tu. Unakuta mtu ana hoteli ya kisasa lakini analala kwenye chumba cha stop na mabox
Acha upunguani, tokea lini uliona jina la mwanasiasa katika biashara? Acha kuwa pumbafu ww, all politicians wanawaweka watu wao wanaowaamini katika biashara zao na majina yao kamwe hutaona, kichwa maji ww umeelewa?Baada ya uzushi na upotoshaji wa muda mrefu, niliamua kuingia chimbo kutafuta ukweli wa nani ni mmliki wa Mabasi hayo.
Nimekuja na facts ambazo Kila mwenye akili timamu anaweza kuzipata mwenyewe maana zinapatika Kila mahali.
Mmiliki wa Mabasi ya Esther Luxury Buses ni Mtanzania Mwenzetu kijana Mpambanaji wa siku nyingi katika biashara ya Mabasi, anamiliki Mabasi aina tofauti tofauti zikiwemo basi zikizokuwa zikihusishwa na Mwanasiasa mmoja hapa Nchini.
Mmliki ni Ndugu Joseph Didas Ngeleuya, P.O. Box 71392, Dar es Salaam. 4463. Plot No. 746
Case Closed. Tuache kuzusha mambo.
View attachment 2459930View attachment 2459931View attachment 2459932View attachment 2459933
Siku hizi kama wameshuka hivi, gari za zamani na ruti ile ishakamatwa na al saedy na abc. Kuna siku niliziona afrikana pale sheli zimepaki kama nne hivi.Upendo bado yapo
Yuko vizuri sana kwenye management
Dah[emoji28][emoji28]Acha upunguani, tokea lini uliona jina la mwanasiasa katika biashara? Acha kuwa pumbafu ww, all politicians wanawaweka watu wao wanaowaamini katika biashara zao na majina yao kamwe hutaona, kichwa maji ww umeelewa?
Ndio maana wazalendo tunataka Lisu achukue nchi, 😂Tutataifisha kila kituAcha upunguani, tokea lini uliona jina la mwanasiasa katika biashara? Acha kuwa pumbafu ww, all politicians wanawaweka watu wao wanaowaamini katika biashara zao na majina yao kamwe hutaona, kichwa maji ww umeelewa?
Ila we jamaa unakumbukumbu sanaWidambe alikuwa Michael Sanga Widambe
Huyu jamaa aliishia wapi? Hekima bado yapo hayo mabasi?Hekima Joel Panja Kayange,