Mmiliki wa Mabasi ya Esther Luxury ni Joseph Ngeleuya

Ukweli usiofichika mabus na malori mengi yanaendeshwa kwa nguvu ya kodi zetu thus wakitoka madarakani na biashara ufa yapo wapi mabus ya buffalo na scandinavian
 

Pamoja na hayo kuna mkono wa mtu!hiyo jamaa namfahamu sana anaishi mabibo hadi kifo cha mwanae kufa mazingira ya kutatanisha,lakini bado kuna mtu ana mkono wake pale huo utajiri wa ghafla hivyo kaupataje anumuw magari yote hayo.
Hata abood niza mtu mwingine ila inasemekana mzee ruksa ana mkono pale
 
Chanzo chake cha biashara ni nini hadi tuamini, huwezi endesha biashara ya mabus kwa kutegemea abiria tu bila source zingine.
Kama sio kafara ni utakatishaji kodi.
 
Omba Mungu akujaze pesa kwenye msisha yako

Wewe una tatizo la kujaa majungu badalaya pesa

Kemea hiyo roho ya kukujaza majungu kuwa toka kwa jina la Yesu na ita Roho ya kukujaza pesa Ije
Una pepo.ambalo kazi yake masaa 24 kukujaza majungu badala ya pesa

Likikushinda kulitoa nenda kwa Mwamposya akusaidie kulitoa
 
Akijibu hili Leo nalala nje hapa Mafinga.
Wabongo noma sana, Huyu jamaa namfahamu kitambo sana.. Ameoa mtoto wa kimambo tajiri mmoja wa miaka mingi mpwapwa aliyekuwa na mabasi mengi.


Jina la Esther ni mwanae.. Siku moja ntaweka picha yake humu na taarifa zake kwa ufasaha ili kuondoa ramli chonganishi
 
Comfort yalikuwa ya Anderson Mwanyato ila.alifariki na Biashara zikafa

Hizo Upendo ni za akina Nyagawa na kuna Wanasiasa waliingiza mabasi yao
Nakumbuka Comfort alipoanzisha ile hotel yake pale kabla ya Kitonga yule mama Msomali mwenye hotel ya Ilula akamwambia lazima ife na ikafa kweli..daah
 
Kaka hilo nieneo korofi, hizo taarifa huwezi kuzipata.

Sent from my SM-N985F using JamiiForums mobile app
Sio lazima kuzipata zote au rasmi, unaweza tuu kufanya worthy estimates kwa kujua idadi ya mabasi x bei ya basi mpya, utapata cost of investment mfano Ester ina mabasi 10, kila basi ni TZS. 400m hivyo hayo mabasi 10 ni TZS 4.b. una search kwenye businesses zake, jee zimezalisha faida ya 4b?. Kama hazijazalisha, then una search kwenye credit bureau jamaa kachukua mkopo wapi wa kiasi gani, then unajiridhisha he is a bonafide owner. Ukikuta hakuna, then unajua kuna silent partners wamezamisha njuluku zao.

p
 
Nakumbuka Comfort alipoanzisha ile hotel yake pale kabla ya Kitonga yule mama Msomali mwenye hotel ya Ilula akamwambia lazima ife na ikafa kweli..daah
Comfort marehemu. Jina lake Anderson Mwanyato..

Hiyo hotel ya mama msomali inaitwa. Bismillahi
 
Unaongea kama jambazi moja hivi, anayenyang'anya na kutoa roho za watu, halafu anageuka na kuanza kutafuta heshima kwa hao hao anaowafanyia ujambazi.

Hopeless Kabisa!
 
Asante kwa kuumaliza utata huu na ili kuwafunga kabisa watu vilomolomo, elezea thamani ya mabasi hayo, na sources of fund za mmiliki, ili kuondoa possibility ya silent partners ambao wanatoa pesa zao bila majina yao kuonekana.

P

Vunjabei chanzo cha mtaji unakijua??
Huwezi jua source of fund za wafanyabiashara wote.
 
Justification yako ya kizamani sana. Matajiri au wamiliki wengi wa hayo mabasi huwa hawapendi kuweka mali zao on their names. Wengi huweka directors au mmoja wa share holders kuwakilisha kampuni,na wakati mwingine hayo mabasi sio ya mtu mmoja inawezekana kuna team hapo wengi hununua mabasi au basi halafu hutafuta mabasi yenye majina na kuomba collaboration huku wakilipa percent fulani kwa kutumia hilo jina.
 
Ni marehemu kwa Sasa alikuwa mzee Damian Divaz Kiwanga na ndio matajiri waanzilishi wa mji wa makambako.

Shukran Kwa maelekezo mkuu., Haya mabasi yalikua yanatemvea hatari enzi hizo tunaanza elimu ya sekondari Iringa. Yalifungiwa Kwa mwendo kasi, wakati huo kampeni za speeg governor zilikua zimepanba moto (1997).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…