Asante ,Nakanusha hii habar sio ya kweri jamaa hajafia Dar wala iyo guest inayosemwa
Marehem alitoka Usangi mapema tuu kuelekea Mosh katika majukum yake ila wakat anatoka hakuwa anajihisi vzr baada ya kufika mosh hari yake haikuwa nzur ikazid kuwa mbaya zaid ikabid watu wa karibu wampeleke Hospital Mawez Mosh
Wakat wanafika hospital Ma Dr wakasema jamaa alishakufa kabla ya kufika hapo hospital
Na kwa wanaomjua uyo jamaa ni Bonge la MTU yawezekana ni Presha au matatizo ya Moyo
NB nimekanusha kama mtu wa karibu na Family
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana mkuu. Ndiyo maana akili ilikataa kuamini hii habari.
Mwananchi nao waongo muda mwingine siyo BBC wala DW.Mtaa Wa Dar es salaam.Mjini Moshi
Macho Yako Yanaona Kama mm Mkuu?
Chanzo Si Changu Mwananchi Imeandika
Na Police Wamethibitisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakanusha hii habar sio ya kweri jamaa hajafia Dar wala iyo guest inayosemwa
Marehem alitoka Usangi mapema tuu kuelekea Mosh katika majukum yake ila wakat anatoka hakuwa anajihisi vzr baada ya kufika mosh hari yake haikuwa nzur ikazid kuwa mbaya zaid ikabid watu wa karibu wampeleke Hospital Mawez Mosh
Wakat wanafika hospital Ma Dr wakasema jamaa alishakufa kabla ya kufika hapo hospital
Na kwa wanaomjua uyo jamaa ni Bonge la MTU yawezekana ni Presha au matatizo ya Moyo
NB nimekanusha kama mtu wa karibu na Family
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtoa post omba moderator warekebishe taarifa yakoMmiliki wa mabasi ya Sahara, Abdalah Msangi (47) na mkazi wa Usangi mkoani Kilimanjaro amekutwa amefariki dunia kwenye moja ya chumba cha wageni mtaa wa Dar es Salaam mjini Moshi, polisi imethibitisha.
Wakazi wa Arusha, Moshi, Same, Usangi nina uhakika mnayajua vyema mabasi haya.
Allah Ampunguzie Adhabu Ya Kaburi Inshallah.
Credit by: MwananchiUpdates
View attachment 1313052
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmiliki wa mabasi ya Sahara, Abdalah Msangi (47) na mkazi wa Usangi mkoani Kilimanjaro amekutwa amefariki dunia kwenye moja ya chumba cha wageni mtaa wa Dar es Salaam mjini Moshi, polisi imethibitisha.
Wakazi wa Arusha, Moshi, Same, Usangi nina uhakika mnayajua vyema mabasi haya.
Allah Ampunguzie Adhabu Ya Kaburi Inshallah.
Credit by: MwananchiUpdates
View attachment 1313052
Sent using Jamii Forums mobile app
Guest house na hotel zote ni nyumba za wageni, tofauti ni aina ya huduma na ubora wake. Pia kumbuka sisi waswahili huyachanganya hayo mawili (tunayatumia interchangeably)Analala gust au hotel!
Mwananchi nao waongo muda mwingine siyo BBC wala DW.
77Umri sahihi wa mtu kufa ni miaka mingapi?
Ni utani au?
Umri kama wako wanapiga msuli darasani huko wewe humu nini mkuu?Nina miongo miwili na miaka miwili duniani.
Kwa hiyo...
Nadhani walikuwa wanamaanisha dar street ya Moshi na siyo vinginevyo mkuuNakanusha hii habar sio ya kweri jamaa hajafia Dar wala iyo guest inayosemwa
Marehem alitoka Usangi mapema tuu kuelekea Mosh katika majukum yake ila wakat anatoka hakuwa anajihisi vzr baada ya kufika mosh hari yake haikuwa nzur ikazid kuwa mbaya zaid ikabid watu wa karibu wampeleke Hospital Mawez Mosh
Wakat wanafika hospital Ma Dr wakasema jamaa alishakufa kabla ya kufika hapo hospital
Na kwa wanaomjua uyo jamaa ni Bonge la MTU yawezekana ni Presha au matatizo ya Moyo
NB nimekanusha kama mtu wa karibu na Family
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Shule gani wakati nimefeli.
Hiyo miaka ni pamoja na ya utotoni au ya utu uzima tu?
Mtaa wa Dar es salaam Mjini Moshi akimaanisha Dar es salaam streetMtaa Wa Dar es salaam.Mjini Moshi
Macho Yako Yanaona Kama mm Mkuu?
Chanzo Si Changu Mwananchi Imeandika
Na Police Wamethibitisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Toka unazaliwa ukomo wake ni 77Hiyo miaka ni pamoja na ya utotoni au ya utu uzima tu?
Wanaovuka hapo wanakuwa wamekiuka masharti?Toka unazaliwa ukomo wake ni 77
Msingi wa hii habari ni kifo cha mmiliki wa mabasi ya sahara na wewe unakiri jamaa amefariki kweli, kwahiyo hapa haukanushi hii habari bali umeiweka hii habari sawa.Nakanusha hii habar sio ya kweri jamaa hajafia Dar wala iyo guest inayosemwa
Marehem alitoka Usangi mapema tuu kuelekea Mosh katika majukum yake ila wakat anatoka hakuwa anajihisi vzr baada ya kufika mosh hari yake haikuwa nzur ikazid kuwa mbaya zaid ikabid watu wa karibu wampeleke Hospital Mawez Mosh
Wakat wanafika hospital Ma Dr wakasema jamaa alishakufa kabla ya kufika hapo hospital
Na kwa wanaomjua uyo jamaa ni Bonge la MTU yawezekana ni Presha au matatizo ya Moyo
NB nimekanusha kama mtu wa karibu na Family
Sent using Jamii Forums mobile app
Ya utotoni ni mingapi na ya utu uzima inaanzia ngapi?Hiyo miaka ni pamoja na ya utotoni au ya utu uzima tu?
Ya utotoni inategemea ulikuwa mtoto wa getini au mtoto wa kawaida. Kama ni getini ni miaka hadi 24.Ya utotoni ni mingapi na ya utu uzima inaanzia ngapi?