Mmiliki wa mabasi ya Sauli watakaokufilisi ni madereva wako

Hizo ajali sio za makusudi wala bahati mbaya...zina mkono usioonekana. Kuna kitu kinaitwa KUZINGATIA MASHARTI hasa kama mali zenyewe umezipata kupitia njia zetu zile.. Sauli anapotea muda si mrefu
Asante Msitaafu kwa hitimisho zuri.
 
Sauli hamumwezi hata mumfanyie figisu vipi
Ajali zisababishwe na madereva wake, alafu wewe Uandike anafanyiwa figisu.
Kama huu ushauri unadhani mbaya, hebu nenda youtube, katifute Clip ya aliekua mmiliki wa mabasi ya Sumry ambae kwa sasa ni marehemu.
 
Kuna ushirikina mkubwa sana huko barabarani mdau


Ili ndio eneo analopaswa kuwekeza
 
Asilimia kubwa ya madereva hawana uchungu na mali ya mtu na huu ndio uhalisia wenyewe.....sio malori, mabus wala magari madogo, wao ni kunyonga na kuuwa kabisa, tajiri utajuwa mwenyewe
Wanachojua ni kusema ukitaka tufanye kazi vizur nipe mkataba baada ya mda gari liwe langu
 
Kilichoanza kuwapa umaarufu ni sped hata bosi anajua kuna siku alihojiwa.na itv akasema mabas yake hayakimbii ila nivile niyakisasa
 
Sifa ya Mabasi ya SAUL ni mwendo kasi na kwa kadri ya kumbukumbu zangu hakuna basi la mikoani lililoendeshwa kwa mwendo kaai lilidumu
mnapo zungumzia mwendokas kwa sauli hua nawashangaa sana tena zama hizi za king'amuzi
hivi hao Newforce /golden deer hamuwaoni? ambao kwa kiasi kikubwa siku hizi ndo hua wana fika kabla ya basi zingine kutokea dar?
 
mnapo zungumzia mwendokas kwa sauli hua nawashangaa sana tena zama hizi za king'amuzi
hivi hao Newforce /golden deer hamuwaoni? ambao kwa kiasi kikubwa siku hizi ndo hua wana fika kabla ya basi zingine kutokea dar?
kwani ugomvi basi ! aendelee kubeba wanavyuo ili afike haraka tuone mwisho wake
 
hao akina summry walikua zaidi ya mmoja uyo mwenye mabasi bado yupo sana na ndie alie ingia kweny kilimo uko nkasi Rukwa
Taarifa iliyopo ni ya aliyekuwa anamiliki mabasi ndiye aliyefariki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…