Mmiliki wa mabasi ya Super Sami atoweka, gari lake lachomwa moto Serengeti

Ghazwati waeleze vizuri wadau aliunguzwa pamoja na gari yake au walimtoa wakamuulia pembeni?
kuna coments inasema mpaka sasa mwili wake haujaptikana sasa hata sielewu!
 
Eti mna amani... Kweli? Labda kwa kulinganisha na Syria na Yemen...
 
Unahisi kumbe
 
Jamaa una akili sana
 
Tatizo watuhumiwa hua hawapatikani? Kwanini haya matukio hujirudia rudia kila mara?
Hao ni watu wasiojulikana kwahiyo kuwapata siyo leo.
Watu wasiojulikana wana kiu ya damu hivyo hufanya matukio yawe yanajirudia kila siku. Subiri na ww kutekwa kwa kuandaa maandamo tarehe 26/4
 
Hao ni watu wasiojulikana kwahiyo kuwapata siyo leo.
Watu wasiojulikana wana kiu ya damu hivyo hufanya matukio yawe yanajirudia kila siku. Subiri na ww kutekwa kwa kuandaa maandamano 26/4
Mkuu hapo kwenye red nitake radhi.
 
sasa kama baba ana miliki genge LA watesi na wauwaji ..watoto nao wafanye nini !!?
baba mvuta bangi ..mlevi .mzinzi ..halafu tunataka watoto wake wawe mashekhe na wachungaji tuendelee kuota


masikini tumesahau kuwa serikali ndio kioo cha kwanza kinachopaswa kuitwa Kioo cha Jamii ""


R.I.P SUPER SAMMI
 
Kaka yetu bado anakula tuu mshahara kila mwezi ofisini uku akipulizwa kiyoyozi.
 
Gari lichomwe ad kuteketea tena kwenye hifadhi bila askar Wa wanyama pori kugundua wala kutouona moshi!?

Alafu wanajisifu kwa kupambana na majangili.

Mungu hailaze mahali pema roho ya marehem.
shangaa wewe mkuu ..hahaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…