Mmoja kati ya Watanzania waliokuwa hawajulikani walipo Nchini Israel, yabainika amefariki Dunia

Hamas walikuwa wanampinga
 
wangesema amekufa na nini ila hapo wametuacha njia panda tunaweza sema ni sababu ya vita kumbe ni mambo mengine.

pole kwa familia
 
wangesema amekufa na nini ila hapo wametuacha njia panda tunaweza sema ni sababu ya vita kumbe ni mambo mengine.

pole kwa familia

Wanatumika lugha ya kidiplomasia. Ila ukweli ni kwamba alikuwa mateka. Na mwili wake ulipatikana hapo hospitalini Shifa na majeshi ya Israel.
 
Hivi serikali ililaani ishu ya hamas kuwateka hao ndugu zetu?
Msimamo wa serikali ya Tanzania ni kuwepo kwa taifa huru la palestina. Kwahiyo umepata jibu hapo kuwa serikali inuaunga mkono harakati za wapalestina kujipatia uhuru kutoka kwa israeli.
 
Kusema tuu amefariki bila kutoa maelezo ya amefariki vipi haitoshi.

Tuliambiwa wamechukuliwa mateka Sasa mbona hamjatueleza kifo chake kimesababishwa na nini?

Semeni oparesheni ya Kisengerema ya Israel imemuua Kijana Wetu.

Choice Variable;

Mkuu inasikitisha....Lakini operesheni ya Kisengerema si kufuatia Operesheni ya Hamas....nayo unaiitaje Mkuu?
 
Wanatumika lugha ya kidiplomasia. Ila ukweli ni kwamba alikuwa mateka. Na mwili wake ulipatikana hapo hospitalini Shifa na majeshi ya Israel.
Hivi Israel ilishindwa kuokoa Mateka mikononi mwa Hamas ?🤔
 
Poleni wafiwa.

Hizi ajira za vimemo ni balaa "USHIRIANO " ni kitu gani?
 
Msimamo wa serikali ya Tanzania ni kuwepo kwa taifa huru la palestina. Kwahiyo umepata jibu hapo kuwa serikali inuaunga mkono harakati za wapalestina kujipatia uhuru kutoka kwa israeli.

Israel haiwezi kuwapa uhuru maana zile ni koloni za Uingereza na baadae Misri na Jordan. Na wao walimwachia hayo maeneo baada ya kushinda vita.
 
Msimamo wa serikali ya Tanzania ni kuwepo kwa taifa huru la palestina. Kwahiyo umepata jibu hapo kuwa serikali inuaunga mkono harakati za wapalestina kujipatia uhuru kutoka kwa israeli.
Sir Robert Hebu tupe nyama ya Kihistoria...Lini Palestine ilitawala na Israel......Una tarehe.....mwaka...?
 
Huyu Bibi faiza nishamuona Ni kiumbe hatari Sana kwa nchi yetu na taifa letu
Yuko tayari Raia wa nchi yake Afe kwa ajili raia wa nchi nyingine
Ni wale raia washenzi kabisa kwenye taifa lolote
 
Sawa lakini siyo kuua watoto na kinamama.

Kama Hamas wanatumika watoto na wanawake Kama Kinga , unafanyaje?. Inabidi uwalipue wote. Maana Hamas walikuwa wanajaza watoto kwe ye majengo waliyoweka Silaha ili Israel asilipue. Ila Israel akawa analipua hivyo hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…