Mna kheri wenye mama mkwe mzee

Mna kheri wenye mama mkwe mzee

Hakika mna kheri.Ma mkwe vijana imekuwa shida Sana,zamani walishindikana Kwa mdomo but now wameshindikana Kwa vyote...game wanataka wale na watoto wao...masimango na kuchagulia waume au wake watoto wao(huyu simtaki,huyu Hana Hela,huyu mfupi Sana mbegu mbaya🙄),na kuachanisha ndoa ndo wamekuwa mstari wa mbele(huwa nashangaa Sana unakuta ma mkwe yupo free kuwasiliana na mume wa mwanae kama anawasiliana na watu wengine TU,kinyakyusa ni mwiko....una shida mwambie mtoto wako yeye atamwambie mumewe) siyo unapiga simu Moja Kwa moja Tena bila aibu unatanguliza na kaunafki juu"Eti mwanangu🤔 Sina chochote ndani vitu vimeisha😳" Aisee jamani...yaan alee mke na mke wa baba mkwe wake.Hapana Kwa kweli.Una shida na pesa mwombe mwanao then mwanao atajua atatoa wapi,anamwomba mumewe au mkewe ndo akupe hilo halikuhusu!

Hongera Sana wenye wakwe vikongwe hawanaga muda huu,wanashukuru wanachopata muda huo,toka Kwa nani sijui ilimradi wamekula na kuvusha Siku😘
Sawa ❤️.....nimewapenda wanyakusya bure Kwa utaratibu huo....wape salam zangu
 
Uganga wa Hivi ushauzoea mbona,maslay queen wameshindwa nitaweza Mimi wa tukuyu huku....we nipeleke TU Kwa mganga wako nikutengue kiuno utulie ndani na Kaz ikushinde🤣🚴🚴
Uganga huzidiana...
 
Beesmom jirani njoo unitetee ati mimi ni hivyo anavyosema Da'Vinci vinci
Kakusingizia maskini😔 yaan umeshindwa kulitamka hata neno lenyewe ulilotamkiwa😥 wise one ❤️....nataka kumwelekeza kuwa Huwa unafanya pale pale kama anapofanyaga yeye private.Unachotofautiana na wengine ni vile wewe public sana then wao private sana.We tembeza TU jirani yangu ninachokusihi kuwa makini na HIV maana hiyo huwa inapoteza malengo na future nzima.😘
 
Kinachonishangaza ni vile leo utamwambia member huyu unampenda unabebishana nae halafu kesho unamwambia mwingine unampenda unabebishana nae mbele ya yule wa jana. Hya nashangaa wenzangu mnawezaje?? Ni ushamba wangu au mambo yako nikuachie mwenyewe😅😅😅
Ukiwa muhuni unaweza, ila ukiwa Mal.aya huwezi...
Utachagua mwenyewe upo kwenye kundi la uhuni au uma.laya...

Hahahaha
 
Kakusingizia maskini😔 yaan umeshindwa kulitamka hata neno lenyewe ulilotamkiwa😥 wise one ❤️....nataka kumwelekeza kuwa Huwa unafanya pale pale kama anapofanyaga yeye private.Unachotofautiana na wengine ni vile wewe public sana then wao private sana.We tembeza TU jirani yangu ninachokusihi kuwa makini na HIV maana hiyo huwa inapoteza malengo na future nzima.😘
Jirani nachokupendea ni hapo tu, alafu ulishasemaga unapenda sana vile nilivyo muhuni...
 
Kinachonishangaza ni vile leo utamwambia member huyu unampenda unabebishana nae halafu kesho unamwambia mwingine unampenda unabebishana nae mbele ya yule wa jana. Hya nashangaa wenzangu mnawezaje?? Ni ushamba wangu au mambo yako nikuachie mwenyewe😅😅😅
Afu usidhani anabebishana hakojolei,anakojolea na kusepa.Mi mwenyewe tayari afu najisikia kizunguzungu🤦 sijui tayaree🤔
 
Afu usidhani anabebishana hakojolei,anakojolea na kusepa.Mi mwenyewe tayari afu najisikia kizunguzungu🤦 sijui tayaree🤔
Jirani tulihesabu kalenda yako vizuri unajua... njoo leo jioni tuhesabu vizuri kalenda tena...
 
Back
Top Bottom