Mnaanzisha vipi maongezi na pisi kali inayopita zake tu?

Hiii kitu haina formula,kuna wanawake visirani nyie hii dunia.. Ukute ambae ana bwana ana iphone 15pro max halafu anaendesha Ka baby walker.

Bro sister atasimama akuulize we kaka vipiiiiii exkyuz me
 
Mbona kutongoza ni rahisi lakin jinsi mnavyoandika mnaonyesha kabisa hamjui kutongoza? Hivi mmeshawahi kumiliki hata demu kweli?

Nikiwa form one nilikua na mbinu moja tu ya kutongoza ndo nilikua natumia kila mahali๐Ÿ˜„ ilikua namuangalia dem machoni muda mrefu bila kumwambia kitu akiniuliza mbona unaniangalia sana namjibu "kwasababu napenda kuona vitu vizuri" akianza kung'ata ng'ata kucha kabla hajafanya comeback nikaishiwa maneno namaliza kwanza mchezo.

Sasa wenzangu kutongoza hamuwezi kabisa mmeshakua watu wazima ila mbinu zenu ni zile zangu za chekechea
 
Hii ilishakuwa outdated na wengi wanaifaham na anakushtukia kirahis Tu anakupozea
 
Kama Hamna common ground mwache. Utamtongozaje mwanamke tu barabarani anatembea? Hata akikubali basi jua huyo mwanamke ni wa wengi. La sivyo, lazima u-establish a common ground.
Anything, there are so many things and places ambapo ukitulia utaipata.
Just chill and watch, don't be p***y hungry.
 
Kuna mbinu moja nilijifunzaga natumiga Sana na huwa demu hata kama anataka kunijib vibaya huwa anashindwa ,ntamwambia madam ningependa kukufaham zaid,atajib kivip na mwambia Kwa muda nilionao NI mdogo ningependa tuongee meng but unaonaje ukiniachia namba tuzid kuwasiliana
 
Kwani barabara haituunganishi ?
 
Mkuu hapa umetema madini ya maana sana
 
Tuzungumzie umekutana mida ya kagiza ka usoni mbagala rangi 3 tuanzie hapo alaf tambua unakua stranger kwake....

Ntarud kukazia maarifa hapa โ˜บ๏ธ๐Ÿ˜Š
 
Mkimbilie Halafu, Mshike kwa mikono na, mwangalie ndani ya macho, mpeleke kando na umwambie :

Commit a crime and I'll be your defender
Overpower me so that I surrender Hmm,
I wish I could be your saliva
So that I could taste your lips whenever....
๐Ÿ˜‚ Aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ