Mnafanya kosa kubwa kufanya hivi katika ndoa na kwingineko. Hii haikuwa imepangwa kuwa hivi. Tuna force tu na haya ndo matokeo yake

Mnafanya kosa kubwa kufanya hivi katika ndoa na kwingineko. Hii haikuwa imepangwa kuwa hivi. Tuna force tu na haya ndo matokeo yake

Mungu kasema tuzaliane tuijaze dunia basi. Hakuongelea maswala ya style wala nini, so hapo cha msingi ni kutimiza wajibu tu mfano ukichukua 6+4 au 5+5 jibu ni 10 tu So kikubwa ni kuijaza dunia style ni yoyote ilmradi dunia ijae [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwanaume unatakiwa uwe juu ili ukimwaga shahawa mwanamke apokee. Sasa wewe unamweka juu... Anakumwagia zake na zako anakurudishia mwishowe mnajikuta hata mimba hamtii
😂😂😅
Si wahenga walishasema 'mtoto akililia wembe mpe..'?! Mfano mpo kwny tukio, akisema anataka style flani unaanzishaje malumbano yatakayofifisha mood na kuchelewesha uchakataji?!
 
Ni kweli style zingine ni kujamba na harufu kali.
 
Style ambayo tuliumbiwa kufanya mapenzi ni missionary position tu. a.k.a kifo cha mende. Hii ndo ukiangalia maumbile yetu ndo yalitengenezwa kwa ajili ya style hiyo.

We angalia tu....imagine mwenyewe. Na wanawake wengi wanafurahia hii kuliko nyingine yoyote. Uliza wakuambie.

Hizo za doggie, kibajaji mtaroni,kitambaa cheupe sijui,mbuzi kagoma,mwana ukome,mkwezi style..

Zote hizo ni dhambi hata kama mmeoana. Si sahihi. Na hata kuweka ufundi mwiiiiiingi nako si sawa. Inatakiwa mtu anaingiza ana pump anamwaga sperms mimba inapatikana basi. Mnasubiri tena next season.

Sasa akina dada mnapofanya kiuno kama feni mbovu,mnapomkalia juu mwanamume ndo tayari mwanaume anamalizwa uanaume wake hakuumbwa kukaliwa juu. Hapo ndo shida zinaanza mnasema siku hizi wanawake wametukalia vichwan kumbe tunayataka wenyewe.

Mwanaume unatakiwa uwe juu ili ukimwaga shahawa mwanamke apokee. Sasa wewe unamweka juu... Anakumwagia zake na zako anakurudishia mwishowe mnajikuta hata mimba hamtii... Mwishowe sasa yeye anakuwa juu yako.

Acheni hayo mambo... Acheni kabisa. Fuateni maumbile.
Ndo maana Watoto wakali mjini hawataki walokole.. labda kwa matumizi ya ndoa tuu [emoji23]
 
Penzi likiwa jipya ndio kuna hizo staili

Baada ya kumaliza miaka mitano ya ndoa ni kimoko chali na mwendo wa kifo cha mende
 
Hata missionary ukiichambua kiroho Ni kujishusha kwa mwanaume mbele ya mwanamke,, maana kumbuka ukiwa unaanza ni kama unaipigia magoti yani unaisujudia k, unakabidhi mamlaka yako yote kwa 'K'
Hahahahaa basi na ifanyike vile watu wanapenda
 
Siku hzi ngono imekua gym maana sio kwa kubinuka mara mguu huko mara kama feni basi tafrani
 
Style ambayo tuliumbiwa kufanya mapenzi ni missionary position tu. a.k.a kifo cha mende. Hii ndo ukiangalia maumbile yetu ndo yalitengenezwa kwa ajili ya style hiyo.

We angalia tu....imagine mwenyewe. Na wanawake wengi wanafurahia hii kuliko nyingine yoyote. Uliza wakuambie.

Hizo za doggie, kibajaji mtaroni,kitambaa cheupe sijui,mbuzi kagoma,mwana ukome,mkwezi style..

Zote hizo ni dhambi hata kama mmeoana. Si sahihi. Na hata kuweka ufundi mwiiiiiingi nako si sawa. Inatakiwa mtu anaingiza ana pump anamwaga sperms mimba inapatikana basi. Mnasubiri tena next season.

Sasa akina dada mnapofanya kiuno kama feni mbovu,mnapomkalia juu mwanamume ndo tayari mwanaume anamalizwa uanaume wake hakuumbwa kukaliwa juu. Hapo ndo shida zinaanza mnasema siku hizi wanawake wametukalia vichwan kumbe tunayataka wenyewe.

Mwanaume unatakiwa uwe juu ili ukimwaga shahawa mwanamke apokee. Sasa wewe unamweka juu... Anakumwagia zake na zako anakurudishia mwishowe mnajikuta hata mimba hamtii... Mwishowe sasa yeye anakuwa juu yako.

Acheni hayo mambo... Acheni kabisa. Fuateni maumbile.
Duh sasa wanawake wana tako zuri mzeya tuendeelee tuu na kifo cha mende na tukose kufaidi vinration ya tako
 
Yaani watu wana sex kama vile vita, mazoezi, acrobatic n.k. ndo maana hata watoto waaozaliwa wanakuwa na hitilafu nyingi sana kiakili.
 
KUHUSU NDOA @@ AMRI ZA MUNGU LEO ZILIZO KATIKA KITABU CHA NABII Fulani
👉0- Kufanya tendo la ndoa zaidi ya mara 3 kwa wiki ni dhambi;
👉1- Punyeto au kujichua ni dhambi;
👉2- kufanya tendo la ndoa zaidi ya Mara moja kwa usiku mmoja ni dhambi;
👉3- Kumwaga mbegu zako sakafuni ni dhambi;
👉4- Kufanya tendo la ndoa mkeo akiwa katika hedhi ni dhambi;
👉5-Kutumia kondomu ni dhambi, "note, unaruhusiwa kutumia kondomu kama mwenzi mmoja ni mgonjwa;
👉6- Kumuweka mkeo juu yako wakati wa kufanya tendo la ndoa ni dhambi;
👉7- Kuangalia sinema za ngono ni dhambi;
👉8- Kwenda kuoga na mkeo ni dhambi;
👉9-kumshika shika mkeo na kumuacha bila kushiriki tendo la ndoa Ni dhambi
👉10- Kuweka ulimi kwenye jinsia ya mwenzi wako ni dhambi;
👉11- Kufanya ngono kwa kumpanda mkeo nyuma ni dhambi;
👉12- Kufanya mapenzi kabla ya mahari ni dhambi;
👉13- Kuchumbiana na mtu ambaye si mkristo Ni dhambi
👉14-Kuweka ulimi kinywani mwa mwanamume au mwanamke ni dhambi;
👉15-mchungaji lazima aoe bikira
👉16- style ya tendo la ndoa ni moja tu mwanamke anakuwa chini mwanaume juu
👉17- mwanaume kunyonya maziwa ya mkewe Ni dhambi,."note maziwa yamewekwa kwa ajili ya kunyonya, watoto pekee,
👉18- Kuwaza au kufikiria juu ya ngono ni dhambi, kutamani;
👉19-mwanaume lazima aoe mwanamke mdogo kwa umri kuliko yeye
👉20-mwanaume ndiye anayependekeza mwanamke, mwanamke kamwe hawezi pendekeza mwanaume
👉21- Kutoa mimba ni dhambi;
👉22- Kutumia kondomu, kufanya uzazi wa mpango, kunywa vidonge au sindano ili kuepuka kupata ujauzito ni dhambi;
👉23-mwanaume hata awe maskini kuliko mke, bado mke atapaswa kumtii mume
👉24- Kupakua picha za uchi na kutazama sinema za ngono ni dhambi.
👉25- Mwanamke kutotii mume ni dhambi;
👉26- Kuwa na wake wengi, ushoga, ni dhambi;
👉27-kufurahiya kuitazama tupu ya mkeo akiwa uchi ni dhambi
👉28-Kunyonyana denda ni dhambi
👉29-kumramba ramba mwenzi kwa ulimi katika mwili ni dhambi
👉30-kufanya ngono usiku wa kuamkia Jumapili ni dhambi
👉31-wakati wa harusi mwanamke anaye vaa gauni jeupe ni bikira pekee
👉32-watu waliojuana kwenye uchumba ndoa yao haita barikiwa kanisani
👉33-baada ya mkeo kujifungia unapaswa kumjua baada tu ya kuona hedhi ya kwanza
👉34-Hupaswi kumpelekea zawadi mama aliyejifungua mtoto haramu, yaani mtoto ambaye baba yake hakulipa mahari
👉35-Bibi-arusi aliyevaa mavazi ya kikahaba siku ya harusi, ndoa yake haita barikiwa kanisani
 
Back
Top Bottom