Mnafanya kosa kubwa kufanya hivi katika ndoa na kwingineko. Hii haikuwa imepangwa kuwa hivi. Tuna force tu na haya ndo matokeo yake

Mungu kasema tuzaliane tuijaze dunia basi. Hakuongelea maswala ya style wala nini, so hapo cha msingi ni kutimiza wajibu tu mfano ukichukua 6+4 au 5+5 jibu ni 10 tu So kikubwa ni kuijaza dunia style ni yoyote ilmradi dunia ijae [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwanaume unatakiwa uwe juu ili ukimwaga shahawa mwanamke apokee. Sasa wewe unamweka juu... Anakumwagia zake na zako anakurudishia mwishowe mnajikuta hata mimba hamtii
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜…
Si wahenga walishasema 'mtoto akililia wembe mpe..'?! Mfano mpo kwny tukio, akisema anataka style flani unaanzishaje malumbano yatakayofifisha mood na kuchelewesha uchakataji?!
 
Ni kweli style zingine ni kujamba na harufu kali.
 
Ndo maana Watoto wakali mjini hawataki walokole.. labda kwa matumizi ya ndoa tuu [emoji23]
 
Penzi likiwa jipya ndio kuna hizo staili

Baada ya kumaliza miaka mitano ya ndoa ni kimoko chali na mwendo wa kifo cha mende
 
Hata missionary ukiichambua kiroho Ni kujishusha kwa mwanaume mbele ya mwanamke,, maana kumbuka ukiwa unaanza ni kama unaipigia magoti yani unaisujudia k, unakabidhi mamlaka yako yote kwa 'K'
Hahahahaa basi na ifanyike vile watu wanapenda
 
Siku hzi ngono imekua gym maana sio kwa kubinuka mara mguu huko mara kama feni basi tafrani
 
Duh sasa wanawake wana tako zuri mzeya tuendeelee tuu na kifo cha mende na tukose kufaidi vinration ya tako
 
Siku hzi ngono imekua gym maana sio kwa kubinuka mara mguu huko mara kama feni basi tafrani
🀣🀣🀣🀣 Mkigeggedwa kifo cha mende mnalalamika sasa tufanyaje
 
Yaani watu wana sex kama vile vita, mazoezi, acrobatic n.k. ndo maana hata watoto waaozaliwa wanakuwa na hitilafu nyingi sana kiakili.
 
KUHUSU NDOA @@ AMRI ZA MUNGU LEO ZILIZO KATIKA KITABU CHA NABII Fulani
πŸ‘‰0- Kufanya tendo la ndoa zaidi ya mara 3 kwa wiki ni dhambi;
πŸ‘‰1- Punyeto au kujichua ni dhambi;
πŸ‘‰2- kufanya tendo la ndoa zaidi ya Mara moja kwa usiku mmoja ni dhambi;
πŸ‘‰3- Kumwaga mbegu zako sakafuni ni dhambi;
πŸ‘‰4- Kufanya tendo la ndoa mkeo akiwa katika hedhi ni dhambi;
πŸ‘‰5-Kutumia kondomu ni dhambi, "note, unaruhusiwa kutumia kondomu kama mwenzi mmoja ni mgonjwa;
πŸ‘‰6- Kumuweka mkeo juu yako wakati wa kufanya tendo la ndoa ni dhambi;
πŸ‘‰7- Kuangalia sinema za ngono ni dhambi;
πŸ‘‰8- Kwenda kuoga na mkeo ni dhambi;
πŸ‘‰9-kumshika shika mkeo na kumuacha bila kushiriki tendo la ndoa Ni dhambi
πŸ‘‰10- Kuweka ulimi kwenye jinsia ya mwenzi wako ni dhambi;
πŸ‘‰11- Kufanya ngono kwa kumpanda mkeo nyuma ni dhambi;
πŸ‘‰12- Kufanya mapenzi kabla ya mahari ni dhambi;
πŸ‘‰13- Kuchumbiana na mtu ambaye si mkristo Ni dhambi
πŸ‘‰14-Kuweka ulimi kinywani mwa mwanamume au mwanamke ni dhambi;
πŸ‘‰15-mchungaji lazima aoe bikira
πŸ‘‰16- style ya tendo la ndoa ni moja tu mwanamke anakuwa chini mwanaume juu
πŸ‘‰17- mwanaume kunyonya maziwa ya mkewe Ni dhambi,."note maziwa yamewekwa kwa ajili ya kunyonya, watoto pekee,
πŸ‘‰18- Kuwaza au kufikiria juu ya ngono ni dhambi, kutamani;
πŸ‘‰19-mwanaume lazima aoe mwanamke mdogo kwa umri kuliko yeye
πŸ‘‰20-mwanaume ndiye anayependekeza mwanamke, mwanamke kamwe hawezi pendekeza mwanaume
πŸ‘‰21- Kutoa mimba ni dhambi;
πŸ‘‰22- Kutumia kondomu, kufanya uzazi wa mpango, kunywa vidonge au sindano ili kuepuka kupata ujauzito ni dhambi;
πŸ‘‰23-mwanaume hata awe maskini kuliko mke, bado mke atapaswa kumtii mume
πŸ‘‰24- Kupakua picha za uchi na kutazama sinema za ngono ni dhambi.
πŸ‘‰25- Mwanamke kutotii mume ni dhambi;
πŸ‘‰26- Kuwa na wake wengi, ushoga, ni dhambi;
πŸ‘‰27-kufurahiya kuitazama tupu ya mkeo akiwa uchi ni dhambi
πŸ‘‰28-Kunyonyana denda ni dhambi
πŸ‘‰29-kumramba ramba mwenzi kwa ulimi katika mwili ni dhambi
πŸ‘‰30-kufanya ngono usiku wa kuamkia Jumapili ni dhambi
πŸ‘‰31-wakati wa harusi mwanamke anaye vaa gauni jeupe ni bikira pekee
πŸ‘‰32-watu waliojuana kwenye uchumba ndoa yao haita barikiwa kanisani
πŸ‘‰33-baada ya mkeo kujifungia unapaswa kumjua baada tu ya kuona hedhi ya kwanza
πŸ‘‰34-Hupaswi kumpelekea zawadi mama aliyejifungua mtoto haramu, yaani mtoto ambaye baba yake hakulipa mahari
πŸ‘‰35-Bibi-arusi aliyevaa mavazi ya kikahaba siku ya harusi, ndoa yake haita barikiwa kanisani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…