Mnaijeria anataka kumpora rafiki yangu girlfriend wake, Mbinu zipi zitumike kumshinda mgeni huyu uwanja wa nyumbani?

Kosa la kwanza huyo mvulana alilolifanya ni kumuuliza dem ,"huyo mnaijeria vip?" Ayni hapa amevuka level yakutokujiamini 100%, na huo wivu utamfanaya dogo awe needy vibaya mno, kinachofuata ni kudharauliwa tu !
 
Wanaijeria Wana dudu la yuyu la hatar na sio vibamia vyetu.
 
Hapo Demu ndio kashoboka na Mnaijeria maana kama ni mtoto wa kishua ameona huyo ndio level yake maana mademu wengi wa kibongo huwa wanashobo sana na nchi za nje.
Hapo pigeni dua tu Mnaijeria arudi kwao.!

Sent from my SM-N960U using JamiiForums mobile app
 
Hehe atavyozidi kushindana against Mnaigeria ndivyo atavyozidi kumpoteza huyo dada. Na kwa kuwa ni mrembo basi akilini mwake huyo msichana ataanza kumuona needy.

Kuna njia moja tu ya kulitatua hili jambo moja kwa moja au kujua keshapoteza huyo msichana au la.

Aachane nae. Amwambie anahitaji break kwa muda huu kufikiria kuhusu mahusiano yao yanapoelekea.

Msichana kama anampenda jamaa atarejea na kueleza hali nzima ilivyo na huyo mnaigeria. Kama ndio mnaijeria ameshawini hili sakata basi hatarudi na jamaa atakuwa ameondoka katika mahusiano with minimal maumivu bila matukio.
 
Hakuna mbinu zaidi ya huyo gf kuamua kubaki na rafiki yako.
Mbinu zilizobaki hazitofua dafu kama kaamua kuwa na mnaijeria.
Madada wamanapenda ma foreigners hasa wakiwa wanajiongelesha kiswahili kibovu basi wao wanaona burudani.
Mwacheni mpopo hapo ashachora ramani ndefu anainvest short time anapga long time
 
Kuna mdgo wang alwah nifata analalamika Dem wake anaanza kmzngua kwaio kaskia kwa wenzake Kuna mganga anavuta mpenz bei yake elfu15 nkmuangaliaaaa nkmwambia n kweli afu iyo bku15 nipe ifate mchna uende itkua na Baraka ikipita kwangu " kweli broo" kafurah kweli.

Den mchna nkafata kuku nusu nkpika na ugali safiiii na iyo pesa nkmuita nkmwambia kula mdgo wang maana hii hela mganga ndo angeila huo ujinga sku nyngne usje nifata unnielza mwanmke akzngua tafta mwngne basss skuiz naona kakomaaa sanaaa.
 
Inaonekana wako sekondari hawa watoto...
nyote watoto sana eti dogo anaweza kutoa pesa lakini kwa kina binti hela zipo. You think money pays for love eh? How dumb.

Kwa hiyo pamba plus unyunyu na kuongea ndo upate binti kirahisi hivyo?

Acheni Mnaijeria awaonyeshe show mkue kidofo.
 
Mademu wa Bongo washamba sana kwa wageni mpaka kuwaoa ukatoka nao nje ya Tanzania ni kujitafutia ugonjwa wa moyo
 
Ngoja na mimi nitoe kaushauri japo huku kijijini mtandao unasumbua sana.
Mahusiano hulindwa na mwanamke sababu yeye hua wa kwanza kuona adui anavyokuja,mwanaume hata ulinde wewe unaweza usimuone adui,au unaweza muona mmoja kumbe wapo mia.
 
Tatizo la wanawake wa kibongo wanafikiria Mnigeria ni mtu wa maana na usikute jamaa (Mnigeria) anakula tayari. Jamaa atamtumia tu na kumuacha kwenye mataa akiishiwa nyege zake. Mwambie tu jamaa yako ampe huyo demu ultimatum achague anamtaka nani kati yake na huyo Mnigeria. Kama demu anazingua amuache tu, kumbuka....wanawake tunatafuta ila mpenzi wa kweli anakuletea mwenyezi Mungu. Mademu wa kibongo ni michosho tu.
 
Kwa kifupi bado ni mtoto huyo wala si mvulana! Yan Au ni weee maana Mwanamke ni either abaki Au aondoke! “ If you wanna go you must go if you wanna stay come my way”

Usiendekeze mapenzi Kabisa maana utaumia baadae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…