Mnaijeria anataka kumpora rafiki yangu girlfriend wake, Mbinu zipi zitumike kumshinda mgeni huyu uwanja wa nyumbani?

Mnaijeria anataka kumpora rafiki yangu girlfriend wake, Mbinu zipi zitumike kumshinda mgeni huyu uwanja wa nyumbani?

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
Kuna dogo ana miaka 28 bado hajaoa ila ana girlfriend wake ambae wamejuana takribani miezi minne hivi bila tatizo, kaja kwangu kaka yake aje nimpe ushauri hasa ukizingatia binafsi nimeshaoa na nina familia tayari, pia kwenye mambo ya mapenzi nina uzoefu si haba.

Huyo girlfend wake ni mrembo wa sura na shape kote, kaelimika (sio msomi wa vyeti), kwao pesa zipo maana mzee ni mzito wa kitengo flani, anajitamua, n.k. (Kiufupi hata mimi huwa nampa moyo dogo kwamba hapo alipopata asiachie)

Sasa kuna mnaijeria hapa anataka kuingiza mchanga kwenye kitumbua maana kaanza kuiteka akili ya girlfriend wa huyu dogo,

Dogo kama ni pesa anazo maana alipata bahati adimu mno kuajiriwa shirika ambalo ni ndoto ya wengi kipindi cha magu, ila pia anafanya biashara inayomlipa, ana ndinga kali, kama ni kuhonga tu hata 50 kwa siku huo uwezo anao ila gf wake ni kama huwa anamaindi, huwa anapendaga out hizi za weekend na vizawadi vidogo vidogo.

Kuhusu ishu nyingine kama kuvaa dogo anagonga pamba maana pesa anazo si haba, kama ni gari ya kupigia misele na dem wake anayo ndinga kali tu, kuhusu swaga dogo hajazubaa, kama ni kumjali huyo gf wake anamjali sana tu na gf wake analijua hilo.

Dogo alipiga maswali gf wake kumuuliza ni vipi na huyo mnaijeria, gf wake kakazania ni marafiki tu lakini kwa akili zetu wanaume hii ni hali ya atari (danger zone), muda wowote koloni linaporwa.

Ni mbinu zipi za kivita zitumike kulitetea taji hapa nyumbani?
 
Huyo dogo lako anakua boya. Its a simple fact, kama mnigeria anataka kuchukua jimbo just know mlango ulifunguliwa na huyo dem wa unyunyu. Maana angekua serious na dogo asingekubali mazoea yanayozidia, sema kwakua alikubali mpaka wamefikia hapo just know dogo hana chake tena.
Utamlaumu bure huyo mams, lakini 90% ya wadada sidhani kama wangeruka. Hata ingekua wewe mtoa mada ndo umepata dem wa kinigeria sijui kma ungeacha kuchakata. Sisemi wa naija ni wazuri, lakini ulimbukeni bado upo mwingi tu bongo kuhusu haya mambo so maybe mdada anataka kuchanganya damu kidogo.
Mwambie dogo afute jasho asonge mbele.
 
nyote watoto sana eti dogo anaweza kutoa pesa lakini kwa kina binti hela zipo. You think money pays for love eh? How dumb.

Kwa hiyo pamba plus unyunyu na kuongea ndo upate binti kirahisi hivyo?

Acheni Mnaijeria awaonyeshe show mkue kidogo.
 
Kuna dogo ana miaka 28 bado hajaoa ila ana girlfriend wake ambae wamejuana takribani miezi minne hivi bila tatizo.

Huyo girlfend wake ni mzuri, anajitambua na kaelimika (sio wasomi wa vyeti),....kwao pesa zipo na wanamjali so hana njaa,

Sasa kuna mnaijeria hapa anataka kuingiza mchanga kwenye kitumbua maana kaanza kuiteka akili ya girlfriend wa huyu dogo,

Dogo huyu kama ni pesa anazo kaajiriwa sehem nzuri na anafanya biashara inayomlipa, ana ndinga kali, kama ni kuhonga hata 50 kwa siku huo uwezo anao ila gf wake huwa anamwambia wala asiwaze so ni mpaka dogo anunue labda vizawadi,, kama ni kuvaa fresh dogo anatupia pamba + unyunyu safi, kama ni kuongea dogo yupo vizuri tu.

Dogo alipiga maswali gf wake kumuuliza ni vipi na huyo mnaijeria, gf wake kakazania ni marafiki tu lakini kwa akili zetu wanaume hii ni hali ya atari (danger zone), muda wowote koloni linaporwa.

Ni mbinu zipi za kivita zitumike kulitetea taji hapa nyumbani?
Mwambie aachane na huyo mwanamke
 
Wanigeria ni wachawi sana, akimkamatia tu huyo manzi huna chako. Fanya aende uhamiaji fasta. Lazima makaratasi ya mnigeria hayatakuwa sawa tu.
Wala hawana uchawi wowote acha kumsagia kunguni.

Kuna tofauti ya mwanaume na mvulana.

Huyu mtoa mada na mwenzie ni tuvulana. Acha wapate darsa kutoka kwa mnaijeria.

wao acha wafocus kwenye pamba, unyunyu na kuongea.🤣🤣🤣
 
“ anatupia pamba na unyunyu safi,kama kuongea dogo yupo vizuri “

Mwambie aendelee kuyafanya hayo wanawake wengine watavutiwa nae huyo wa kishua amuache na mnigeria wake
ewaaaa.
 
Kuna dogo ana miaka 28 bado hajaoa ila ana girlfriend wake ambae wamejuana takribani miezi minne hivi bila tatizo.

Huyo girlfend wake ni mzuri, anajitambua na kaelimika (sio wasomi wa vyeti),....kwao pesa zipo na wanamjali so hana njaa,

Sasa kuna mnaijeria hapa anataka kuingiza mchanga kwenye kitumbua maana kaanza kuiteka akili ya girlfriend wa huyu dogo,

Dogo kama ni pesa anazo maana alipata bahati adimu mno kuajiriwa shirika ambalo ni ndoto ya wengi kipindi cha magu, ila pia anafanya biashara inayomlipa, ana ndinga kali, kama ni kuhonga tu hata 50 kwa siku huo uwezo anao ila gf wake ni kama huwa anamaindi, huwa anapendaga out hizi za weekend na vizawadi vidogo vidogo,,

Dogo alipiga maswali gf wake kumuuliza ni vipi na huyo mnaijeria, gf wake kakazania ni marafiki tu lakini kwa akili zetu wanaume hii ni hali ya atari (danger zone), muda wowote koloni linaporwa.

Ni mbinu zipi za kivita zitumike kulitetea taji hapa nyumbani?
Huyo jamaa yako ni falaaa....una hela alafu unakuwa na demu mmoja 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Huyo dogo lako anakua boya. Its a simple fact, kama mnigeria anataka kuchukua jimbo just know mlango ulifunguliwa na huyo dem wa unyunyu. Maana angekua serious na dogo asingekubali mazoea yanayozidia, sema kwakua alikubali mpaka wamefikia hapo just know dogo hana chake tena.
Utamlaumu bure huyo mams, lakini 90% ya wadada sidhani kama wangeruka. Hata ingekua wewe mtoa mada ndo umepata dem wa kinigeria sijui kma ungeacha kuchakata. Sisemi wa naija ni wazuri, lakini ulimbukeni bado upo mwingi tu bongo kuhusu haya mambo so maybe mdada anataka kuchanganya damu kidogo.
Mwambie dogo afute jasho asonge mbele.
Oh so bidada anataka kuonja mtibwa sugar ya kinaija🤣🤣🤣🤣
 
Oh so bidada anataka kuonja mtibwa sugar ya kinaija🤣🤣🤣🤣
Akae amuangalie kwa makini, akishaona ameanza kuvaa yale mavitenge makubwa makubwa ujue tayari kashapigwa miti na ahadi ya ndoa ya kimila performer akiwa Wizkid!
Possibility ni kubwa mpka sasa hivi tayari binti ashakutana na chuma ya doshi ndo maana mwamba anaona mapichapicha. Most times masinemarie yanaanza baada ya kuliwa mzigo maana hapo dem ndo anajua kabisa tofauti ya ukuni na kiberiti
 
Back
Top Bottom