Prakatatumba abaabaabaa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2022
- 2,317
- 7,808
Wakuu, Mimi naona aya mambo ya kizungu sana, sisi wa matumbi tuliokulia mpwimbwe katavi naona kama ni mageni sana.
Niko kwa hotel moja hapa nusu saa imepita sijui cha kufanya, ukikaa kwenye hiki choo mjeredi unagusa sink, hujui wangapi wamekaa hapo, na imagine ata nikikaa mzigo hautoki nikisema nichuchumae kimatumbi naona kama sielewi.
Sasa Wazungu wa hapa JF, huwa mnafanyaje? Mnasafishaje mazingira baada ya kazi? Maana nashindwa kuimagine, option ya kusafisha siioni kabisa. Au ndio mnainama alafu niaje niaje....
Imebidi nitoke hapa hotel niende huko mtaani nikaangalie mazingira.
Acheni kuiga kila kitu kutoka nje. Sisi ni wajivuni wa usafi na ustaarabu.