Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 55,705
- 104,843
Karudi Uingereza akiwa na mama Jessica huku wamebeba kibuyu cha ulanzi mtogwa.Fujo isiyoumiza

Nawapenda sana😛Karudi Uingereza akiwa na mama Jessica huku wamebeba kibuyu cha ulanzi mtogwa.
The comical family.Nawapenda sana😛
Nipate kichaa mmoja tuchekeshe jf😁The comical family.
Cheki na@mmbagajrNipate kichaa mmoja tuchekeshe jf😁
Sipigi nyeto mmCheki na@mmbagajr
Atakufundisha tu.Yeye ni Afisa Mwandamizi kitengo cha unyetukaji bila kelele.Sipigi nyeto mm
Unaweka toilet paper kiasi kwenye yale majiDuuuuh taabu nipale mbolea inashuka maji yanaruka kugusa makalio!!!! au kuna utaalam mnatumia maji yasiwarukie???🤔🤔
Una mbinu kali za kimedani we mjamaa!Tishu inapunguza kishindo na maji kuruka kama gunia linavyotumika kudaka nazi isivunjike kutoka juu mnazini.Unaweka toilet paper kiasi kwenye yale maji
Piga "staili ya Wagogo"Wakuu, Mimi naona aya mambo ya kizungu sana, sisi wa matumbi tuliokulia mpwimbwe katavi naona kama ni mageni sana.
Niko kwa hotel moja hapa nusu saa imepita sijui chq kufanya, ukikaa kwenye hiki choo mjeredi unagusa sink, hujui wangapi wamekaa hapo, na imagine ata nikikaa mzigo hautoki nikisema nichuchumae kimatumbi naona kama sielewi.
Sasa wazungu wa hapa JF, huwa mnafanyaje? Mnasafishaje mazingira baada ya kazi? Maana nashindwa kuimagine, option ya kusafisha siioni kabisa. Au ndio mnainama alafu niaje niaje....
Imebidi nitoke hapa hotel niende huko mtaani nikaangalie mazingira.
Acheni kuiga kila kitu kutoka nje. Sisi ni wajivuni wa usafi na ustaarabu.
Kwahiyo na wewe kutumia jina la kiume na profile photo ya kiume hakukuondolei sifa ya kua Mwanamke?kutumia jina la kike na profile photo ya kike hakumuondolei sifa ya kuwa mwanamke.
Pole mkuu tena unaweza kupata magonjwa kama UTI usiposafisha kabla ya kujisaidia. Wenzio huwa tunasogea mbele kabisa unaacha mshororo unaning'inia mbele ya sink otherwise utapata magonjwa kichwa kikigusa sink chafu.Wakuu, Mimi naona aya mambo ya kizungu sana, sisi wa matumbi tuliokulia mpwimbwe katavi naona kama ni mageni sana.
Niko kwa hotel moja hapa nusu saa imepita sijui chq kufanya, ukikaa kwenye hiki choo mjeredi unagusa sink, hujui wangapi wamekaa hapo, na imagine ata nikikaa mzigo hautoki nikisema nichuchumae kimatumbi naona kama sielewi.
Sasa wazungu wa hapa JF, huwa mnafanyaje? Mnasafishaje mazingira baada ya kazi? Maana nashindwa kuimagine, option ya kusafisha siioni kabisa. Au ndio mnainama alafu niaje niaje....
Imebidi nitoke hapa hotel niende huko mtaani nikaangalie mazingira.
Acheni kuiga kila kitu kutoka nje. Sisi ni wajivuni wa usafi na ustaarabu.
Hili ndilo jibu,kuongezea unakaa mbelee kabisa huku mzee aning'inia chini na product haiendi direct kwenye maji inashuka kwanza kwenye ile slope ndipo iende kwenye maji.Na ni utumwa Sana.Kwa mfano,mimi nikikutana nacho ni lazima nianze kufanya usafi wake upya,kukiflashi na kukikausha.Nitatandika tissues ndiyo niendelee kusoma magazeti.Kazi kubwa ajabu!
The worst invention to ever happen.Wakuu, Mimi naona aya mambo ya kizungu sana, sisi wa matumbi tuliokulia mpwimbwe katavi naona kama ni mageni sana.