Holoholo
JF-Expert Member
- May 10, 2023
- 8,723
- 19,715
kutumia jina la kike na profile photo ya kike hakumuondolei sifa ya kuwa mwanamke.Mleta mada anateseka kwa Mjeredi kugusa Sink,
Au hukumuelewa?
kutumia jina la kike na profile photo ya kike hakumuondolei sifa ya kuwa mwanamke.Mleta mada anateseka kwa Mjeredi kugusa Sink,
Au hukumuelewa?
Jamaa nakukubali sana. Kuna thread uliletaga humu kuhusu namna ya kujisafisha na maji baada ya kujisaidia. Nikwambie tu, ile thread ilinifungua sana akili na ilinisaidia.Wakuu, Mimi naona aya mambo ya kizungu sana, sisi wa matumbi tuliokulia mpwimbwe katavi naona kama ni mageni sana.
Niko kwa hotel moja hapa nusu saa imepita sijui chq kufanya, ukikaa kwenye hiki choo mjeredi unagusa sink, hujui wangapi wamekaa hapo, na imagine ata nikikaa mzigo hautoki nikisema nichuchumae kimatumbi naona kama sielewi.
Sasa wazungu wa hapa JF, huwa mnafanyaje? Mnasafishaje mazingira baada ya kazi? Maana nashindwa kuimagine, option ya kusafisha siioni kabisa. Au ndio mnainama alafu niaje niaje....
Imebidi nitoke hapa hotel niende huko mtaani nikaangalie mazingira.
Acheni kuiga kila kitu kutoka nje. Sisi ni wajivuni wa usafi na ustaarabu.
Na we ni mwanaume kumbeTunajikazaga Tu kuvitumia,kwenye kujisafisha tumia kibomba!
Hakiumi?Mimi huwa nakuwa makini sana.Naishika kwa upande kama ambavyo mnavyokamatiaga madera yenu na kutembea kwa madaha.
Na mashavuLazima huwa ni kwenye masikio.
nimemuelewa ila si kasema hata kukata gogo hawezi jamni😅😅😅 ndo nikatoa ushuhuda wangu nilivyokua nateseka na mimiMleta mada anateseka kwa Mjeredi kugusa Sink,
Au hukumuelewa?
Tangu lini tembo akaelemewa au kuumizwa na mkonga wake?Hakiumi?
Dah!Kibomba oyeeee;Na mashavu
Mna kibarua!Tangu lini tembo akaelemewa au kuumizwa na mkonga wake?
Ni raha we hujui tu😉Dah!Kibomba oyeeee;
Tutafika tu!Hii nchi ina safari ndefu sana. Karne ya 21 watu wanajadili choo.
Ila si utumwa.Mna kibarua!
Bora ya kujadili vitu wanavyomiliki muda wote kuliko magari ya kwenye picha/hewa.Mtu chake.Hii nchi ina safari ndefu sana. Karne ya 21 watu wanajadili choo.
Fujo isiyoumizaIla si utumwa.