Mnakataje gogo kwenye Vyoo vya kukaa? Mbona mjeredi unagusa Sink

Mnakataje gogo kwenye Vyoo vya kukaa? Mbona mjeredi unagusa Sink

Moja Kati Ya Ubunifu Wa Hovyo Sana Wa Choo
Kwanza Kinatia Kinyaa, Sasa Hotel Hujui Wangapi Wamekaa
Choo Pekee Bora Na Kizuri Ni Cha Kuchuchumaa
Gas Yote Inatoka Tumboni, Unashusha Gogo Vema
Vyoo vinawafaa watu wenye changamoto ya magoti na ulemavu tu
 
Choo cha kukaa ni private chako na mkeo chumban tu.... vingine (public)hapana , wacha niendelee kuwa mshamba !!!
 
Vyoo vya kukaa hata mi vinanikera kwanza kujikamua unatumia nguvu kubwa ni tofauti na asili ya mwanadamu
 
Kwakweli na shauri mwana jf mwerevu atume tuvideo tuone namna yakutumia hicho kinu!! Maana kila namna ya kukaa nimeona ni changamoto achilia mbali namna ya kunawa!!
Mambo magumu tusije kunya kwa kuinama 🤔😏
 
Wakuu, Mimi naona aya mambo ya kizungu sana, sisi wa matumbi tuliokulia mpwimbwe katavi naona kama ni mageni sana.

Niko kwa hotel moja hapa nusu saa imepita sijui chq kufanya, ukikaa kwenye hiki choo mjeredi unagusa sink, hujui wangapi wamekaa hapo, na imagine ata nikikaa mzigo hautoki nikisema nichuchumae kimatumbi naona kama sielewi.

Sasa wazungu wa hapa JF, huwa mnafanyaje? Mnasafishaje mazingira baada ya kazi? Maana nashindwa kuimagine, option ya kusafisha siioni kabisa. Au ndio mnainama alafu niaje niaje....

Imebidi nitoke hapa hotel niende huko mtaani nikaangalie mazingira.

Acheni kuiga kila kitu kutoka nje. Sisi ni wajivuni wa usafi na ustaarabu.
Alafu unakuta kuna mwanamke mwenzangu "anaunyonya usiku"
 
Ukiona mwanaume kapata U.T.I ni kupitia vyoo hivi hasa kwenye public na ma hotelini
 
Ukiona mwanaume kapata U.T.I ni kupitia vyoo hivi hasa kwenye public na ma hotelini
 
Back
Top Bottom