Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 26,721
- 98,896
🤣🤣Mwenzio huwa nauchukua nauhifafhi mapajani..
Kuna pozi ukikaa kwa makini haugusi, ila ukizubaa kidogo unashangaa umegusa, ikitokea umegusa huwa nashtuka kinyama, najiambia UTI hii
🤣🤣Mwenzio huwa nauchukua nauhifafhi mapajani..
Kuna pozi ukikaa kwa makini haugusi, ila ukizubaa kidogo unashangaa umegusa, ikitokea umegusa huwa nashtuka kinyama, najiambia UTI hii
Muulize@seran kazi za kibomba kitaalamu ni zipi!?Kibomba kipo
Wenye matango hao, viba100 hatuhusiki!Kwan inakuwaje unakaa mpaka mjegeje unagusa sinki?
Mazingira mkuu, choo cha kukaa kisiwe cha watu wengi, wewe na mke wako inatosha, ikiwa sehemu ya mwingiliano ni kweli inaleta kinyaa, japo kuna taasisi zina vyoo vya kukaa na ni kusafi sana.Kutumia choo cha kukaa ni uchafu sana ni kama mtu mzima kutaka kujipaka mavi mwenyewe!
Hakikisha matako yanafika round ya nyuma kabisa, tumbukiza mjeledi uning'ie ndani ya choo,enea/tosha kwenye mzunguko wote, relax, kata gogo, kama kuna flash water tape we ilengeshe tu kwenye tundu la mavi ikusafishe kwanza kabla hujaweka mkono.Wakuu, Mimi naona aya mambo ya kizungu sana, sisi wa matumbi tuliokulia mpwimbwe katavi naona kama ni mageni sana.
Niko kwa hotel moja hapa nusu saa imepita sijui chq kufanya, ukikaa kwenye hiki choo mjeredi unagusa sink, hujui wangapi wamekaa hapo, na imagine ata nikikaa mzigo hautoki nikisema nichuchumae kimatumbi naona kama sielewi.
Sasa wazungu wa hapa JF, huwa mnafanyaje? Mnasafishaje mazingira baada ya kazi? Maana nashindwa kuimagine, option ya kusafisha siioni kabisa. Au ndio mnainama alafu niaje niaje....
Imebidi nitoke hapa hotel niende huko mtaani nikaangalie mazingira.
Acheni kuiga kila kitu kutoka nje. Sisi ni wajivuni wa usafi na ustaarabu.
Na ni utumwa Sana.Kwa mfano,mimi nikikutana nacho ni lazima nianze kufanya usafi wake upya,kukiflashi na kukikausha.Nitatandika tissues ndiyo niendelee kusoma magazeti.Kazi kubwa ajabu!Kutumia choo cha kukaa ni uchafu sana ni kama mtu mzima kutaka kujipaka mavi mwenyewe!
Panda juu na uchuchumae mkuu.Mbona hatutakuona
Inawezekana Watanzania wengi hawajui jinsi ya kutumia choo cha kukaa😂Hakikisha matako yanafika round ya nyuma kabisa, tumbukiza mjeledi uning'ie ndani ya choo,eneo kwenye mzunguko wote, relax, kata gogo kama kuna flash water tape we ilengeshe tu kwenye tundu la mavi ikusafishe kwanza kabla hujaweka mkono.
Hamna namna.Hata mimi nikiona kinyaa na hakuna chenye muundo mwingine au nimebanwa vilivyo,napanda juu yake tu.Hapo Namtuma Liwalo na mdogo wake Liwe.kuna jamaa alifanyaga hivo aise, mwenye nyumba alicheka mpaka chozi baada ya kuona tope sehemu ya kukaa 🤣
Kuna tweet niliona kule X jamaa anasema "hivi mnawezaje kutumia kibomba kisafisha mk** baada ya kukata gogo? Mbona nikikitumia ile presha Huwa nasikia utamu?"Tunajikazaga Tu kuvitumia,kwenye kujisafisha tumia kibomba!
Muwe mnavifunga kamba vikae juu!Amebarikiwa na upako juu.
NB:Kwa mwanaume (wengi)ukikaa kwenye vile vinu lazima askari kanzu aguse ukuta kukagua alama/fingerprints.
Mimi huwa nakilengesha sehemu moja tu😎Muulize@seran kazi za kibomba kitaalamu ni zipi!?
Mimi huwa nakuwa makini sana.Naishika kwa upande kama ambavyo mnavyokamatiaga madera yenu na kutembea kwa madaha.Muwe mnavifunga kamba vikae juu!
Lazima huwa ni kwenye masikio.Mimi huwa nakilengesha sehemu moja tu😎
Mwanaume inatakiwa anakata gongo huku anakimbia mzee 🏃🏃Dunia ina mambo sana, mwanaume unakataje gogo huku umekaa?
🤣🤣🤣, aise nimecheka sanaHakikisha matako yanafika round ya nyuma kabisa, tumbukiza mjeledi uning'ie ndani ya choo,enea/tosha kwenye mzunguko wote, relax, kata gogo, kama kuna flash water tape we ilengeshe tu kwenye tundu la mavi ikusafishe kwanza kabla hujaweka mkono.