Prakatatumba abaabaabaa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2022
- 2,317
- 7,808
Mleta mada anateseka kwa Mjeredi kugusa Sink,mwanzoni na mimi niliteseka kama wewe ila atleast saivi,, ila choo kikiwa na unyevu au maji maji siwezi kukaa huwa nahisi kinyaa
Amebarikiwa na upako juu.Kwan inakuwaje unakaa mpaka mjegeje unagusa sinki?
Ni ngumu aiseeDuuuuh taabu nipale mbolea inashuka maji yanaruka kugusa makalio!!!! au kuna utaalam mnatumia maji yasiwarukie???π€π€
Bonyeza kitufe cha silencer/kiwambo cha sauti na mruko wa maji.Duuuuh taabu nipale mbolea inashuka maji yanaruka kugusa makalio!!!! au kuna utaalam mnatumia maji yasiwarukie???π€π€
Tena Kuna kabila likitoka kuchamba kwenye hivyo vyoo hakutamaniki hata uwekee tishumwanzoni na mimi niliteseka kama wew ila atleast saivi,, ila choo kikiwa na unyevu au maji maji siwezi kukaa huwa nahisi kinyaa
Hawa watu wa jf hawana maana coz SIRI ZA BIASHARA ZAO HAWASEMAGI, hvyo hata siri ya kwenda haja hawawezi kukupa!! uchoyo juu ya uchoyo ubinafsi uliopitiliza!!!πWakuu, Mimi naona aya mambo ya kizungu sana, sisi wa matumbi tuliokulia mpwimbwe katavi naona kama ni mageni sana.
Niko kwa hotel moja hapa nusu saa imepita sijui chq kufanya, ukikaa kwenye hiki choo mjeredi unagusa sink, hujui wangapi wamekaa hapo, na imagine ata nikikaa mzigo hautoki nikisema nichuchumae kimatumbi naona kama sielewi.
Sasa wazungu wa hapa JF, huwa mnafanyaje? Mnasafishaje mazingira baada ya kazi? Maana nashindwa kuimagine, option ya kusafisha siioni kabisa. Au ndio mnainama alafu niaje niaje....
Imebidi nitoke hapa hotel niende huko mtaani nikaangalie mazingira.
Acheni kuiga kila kitu kutoka nje. Sisi ni wajivuni wa usafi na ustaarabu.