Mnakataje gogo kwenye Vyoo vya kukaa? Mbona mjeredi unagusa Sink

Jamaa nakukubali sana. Kuna thread uliletaga humu kuhusu namna ya kujisafisha na maji baada ya kujisaidia. Nikwambie tu, ile thread ilinifungua sana akili na ilinisaidia.
 
Hivyo vyoo tunavitumia kimakosa. Halala ni choo cha walemavu wa miguu coz kwao kuchuchumaa ni changamoto kwa hiyo ni halali kwao lakin kwa asiye na ulemavu ni kero kweli kweli.
Panda juu chuchumaa umalize kazi ndugu yangu acha kujitesa bure usije kujiharishia ukienda kutafta choo huko nje. Hivo vina wenyewe sana sana wagonjwa mr.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…