Mnakataje gogo kwenye Vyoo vya kukaa? Mbona mjeredi unagusa Sink

Haya tuyasema tuwachie wanaume wa Dar mie nishashindwa huwa nachuchumaa nakanyaga hapo juu japo kwa mbinde
 
Piga "staili ya Wagogo"
 
Hii vyoo sio Hygienic kabisa ni uzungu tu na starehe zisizo manufaa.
Imagin kwenda kukalia uchi sehem penye anakalia kila mtu uchi, Hivi tuwaachie walemavu.
 
Pole mkuu tena unaweza kupata magonjwa kama UTI usiposafisha kabla ya kujisaidia. Wenzio huwa tunasogea mbele kabisa unaacha mshororo unaning'inia mbele ya sink otherwise utapata magonjwa kichwa kikigusa sink chafu.
 

Attachments

  • instagram_1780310615015.mp4
    1.2 MB
Na ni utumwa Sana.Kwa mfano,mimi nikikutana nacho ni lazima nianze kufanya usafi wake upya,kukiflashi na kukikausha.Nitatandika tissues ndiyo niendelee kusoma magazeti.Kazi kubwa ajabu!
Hili ndilo jibu,kuongezea unakaa mbelee kabisa huku mzee aning'inia chini na product haiendi direct kwenye maji inashuka kwanza kwenye ile slope ndipo iende kwenye maji.
Yote kwa yote hivi vyoo vya kisasa ni chanzo cha magonjwa ya njia za mkojo hata kama si cha kukaa .
 
Moja Kati Ya Ubunifu Wa Hovyo Sana Wa Choo
Kwanza Kinatia Kinyaa, Sasa Hotel Hujui Wangapi Wamekaa
Choo Pekee Bora Na Kizuri Ni Cha Kuchuchumaa
Gas Yote Inatoka Tumboni, Unashusha Gogo Vema
 
The worst invention to ever happen.

Bila shaka aliyebuni huu ujinga alikuwa mtu mzembe sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…