Vyoo vinawafaa watu wenye changamoto ya magoti na ulemavu tuMoja Kati Ya Ubunifu Wa Hovyo Sana Wa Choo
Kwanza Kinatia Kinyaa, Sasa Hotel Hujui Wangapi Wamekaa
Choo Pekee Bora Na Kizuri Ni Cha Kuchuchumaa
Gas Yote Inatoka Tumboni, Unashusha Gogo Vema
Sio kua hawajui ila vinaboa sana mfano wakati wa kujikamua ni tofauti na vyoo vya kuchuchumaaInawezekana Watanzania wengi hawajui jinsi ya kutumia choo cha kukaa😂
😃 😀 😄 😁Na ni utumwa Sana.Kwa mfano,mimi nikikutana nacho ni lazima nianze kufanya usafi wake upya,kukiflashi na kukikausha.Nitatandika tissues ndiyo niendelee kusoma magazeti.Kazi kubwa ajabu!
Alafu unakuta kuna mwanamke mwenzangu "anaunyonya usiku"Wakuu, Mimi naona aya mambo ya kizungu sana, sisi wa matumbi tuliokulia mpwimbwe katavi naona kama ni mageni sana.
Niko kwa hotel moja hapa nusu saa imepita sijui chq kufanya, ukikaa kwenye hiki choo mjeredi unagusa sink, hujui wangapi wamekaa hapo, na imagine ata nikikaa mzigo hautoki nikisema nichuchumae kimatumbi naona kama sielewi.
Sasa wazungu wa hapa JF, huwa mnafanyaje? Mnasafishaje mazingira baada ya kazi? Maana nashindwa kuimagine, option ya kusafisha siioni kabisa. Au ndio mnainama alafu niaje niaje....
Imebidi nitoke hapa hotel niende huko mtaani nikaangalie mazingira.
Acheni kuiga kila kitu kutoka nje. Sisi ni wajivuni wa usafi na ustaarabu.
Hapana kwani wanaume Tu ndo walipaswa kujibu?Na we ni mwanaume kumbe
Wanawake ambao huwa wanatumia hicho kifaa wana haki ya kujibu kwakuwa kifaa kisipokuwa salama hata vinywa vyao vinakuwa mashakamani maana ndio wanao nyonyaHapana kwani wanaume Tu ndo walipaswa kujibu?
Ndivyo ilivyo mkuuUna mbinu kali za kimedani we mjamaa!Tishu inapunguza kishindo na maji kuruka kama gunia linavyotumika kudaka nazi isivunjike kutoka juu mnazini.