Mnakomaa kupata Tume Huru ya Uchaguzi, mnadhani itawaweka madarakani?

Mh.. hivi kama serikali imeingia bila ridhaa ya wananchi itatawala?

Hili ni swali ama unapigia jibu mstari? Kuna kuongoza na kuburuza, hiki kinachoendelea kwa sasa sio kuongoza bali ni kuburuza, ndio maana unaona serikali inatawala kwa kupika data, kuteka na hakuna uhuru wa vyombo vya habari.
 
Lakini mimi binafsi naona upo huru ndio maana unapost unachotaka. Na unajua hapa Tanzania kuna vyombo vya habari vingapi? Vinamiliki radio na magazeti. Jikite kwenye mada,huna point kaa kimya.
 
Lakini mimi binafsi naona upo huru ndio maana unapost unachotaka. Na unajua hapa Tanzania kuna vyombo vya habari vingapi? Vinamiliki radio na magazeti. Jikite kwenye mada,huna point kaa kimya.

Niko huru kwa fake Id ? Haya ninayochangia ningechangia kwa verified id ningekuwa nishapotea. Chombo gani cha habari unaweza kwenda kutoa mchango asioupenda yesu wa ccm? Toka lini wingi wa kitu ndio kinamaanisha ubora? Ubora na wingi ni vitu viwili tofauti, kuna wingi wa vyombo vya habari, je vinaripoti nini?

Na kwa taarifa yako kuna wanacdm wamekamatwa kwa kumsema rais kuhusu uwajibikaji wake kwenye suala la covid kwenye group lao la whatapp, huo ndio uhuru unaouengelea?
 
Wamemsema kwa lugha gani? Kebehi? Matusi? Dhihaka? Acha kutetea ujinga. Kama unadhani katiba ya JMT ilikupa uhuru kujieleza ili uvunje sheria unakosea sana.
 
Lakini mimi binafsi naona upo huru ndio maana unapost unachotaka. Na unajua hapa Tanzania kuna vyombo vya habari vingapi? Vinamiliki radio na magazeti. Jikite kwenye mada,huna point kaa kimya.
Embu cheki hiyo video hapo chini kisha utoe maoni yako kuhusiana na uchaguzi huru na wa haki.

Wamemsema kwa lugha gani? Kebehi? Matusi? Dhihaka? Acha kutetea ujinga. Kama unadhani katiba ya JMT ilikupa uhuru kujieleza ili uvunje sheria unakosea sana.

Wanaccm wanapowakebehi wapinzani,kuwakejeli nk hivyo vyombo vya usalama havioni? Wapinzani wanapouliwa na vyombo vya dola iko ccm ikae madarakani huwa huoni uhoji weledi wa vyombo vya dola? Huu upuuzi utaisha tu. Huko Afrika kusini weusi waliwekwa ndani sana kwa visingizio kama hivi.
 
Hili unalozungumzia hapa ni suala lingine,ila hata hao wapinzani wakitukanwa na kukebehiwa wafungue kesi.
 
Mimi nakubaliana na suala la kupata katiba mpya na tume huru ya uchaguzi. Ila naona utaratibu unaotajwa wa kupata viongozi wa tume si mzuri. Kiongozi ye yote wa kisiasa hapaswi kuhusika katika mchakato huu. Inatakiwa kuundwa jopo la Majaji saba watakaokuwa na kauli ya mwisho katika kuunda tume na kuteua watendaji wake. Wataandaa sifa za msingi kwa watendaji wa tume katika ngazi zote toka taifa, mikoa, wilaya hadi kata. Mtu ye yote anayeona ana sifa zinazotakiwa na anataka kuteuliwa katika ngazi ye yote ataandika barua kwa jopo hili na waombaji watasailiwa kisha mmoja atateuliwa. Uteuzi wa jopo la Majaji utakuwa wa mwisho. Katika ngazi za mikoa, wilaya na kata kutakuwa na kamati za wanasheria watakaosaili waombaji na kuteua walioshinda na kuwasilisha majina kwa tume. Hawa ndio watakuwa watendaji wa tume. Wanasiasa na watumishi wa serikali kazi yao itakuwa kuhamasisha wananchi na wanaachana wao kujiandikisha na kushiriki katika uchaguzi.
 
Hii ndio michango iliyoshiba.
 
Kabla hujaaandika ujinga ungejikumbusha kwanza kilichotokea MALAWI!
 
Hata hujui kujenga hoja,eti bora mkajenga imani kwa wananchi,!
 
Hao majaji saba watapatikana vipi? Ili waunde tume, je hawataapishwa na rais?
Huko ngazi za chini ulizotaja?

Hawata kuwa na vinasaba vya vyama vya siasa?
 
Kwani kumbe nyinyi mmewekwa madarakani na Tume?

Mungu akubariki kwa kukiri ukweli.
 
Kutawekwa utaratibu kuwa Jaji Mkuu ndiye atakayeteua jopo la Majaji saba na kuwaapisha. Vinasaba vya kisiasa ni moja ya disqualifications kwa nafasi ye yote ile. Mikoani Hakimu Mkazi ateri kamati za wanasheria watakaosimamia zoezi hili na kupisha wateule na kupeleka taarifa kwa tume.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…