Mnakomaa kupata Tume Huru ya Uchaguzi, mnadhani itawaweka madarakani?

Jaji mkuu ataapishwa na nani? Na je hatakuwa na vinasaba vya siasa? Kwani mtu kuwa na nasaba na chama fulani cha siasa mpaka uone waziwazi?
 
Huja haja ya kutukana, jibu swali kisha toa ushahidi. Au zile picha za Kawe ndio ushahidi wako? Mpaka leo mwezi wa nne hujaenda mahakani?

Pia kumbuka mada ni tume huru,je utakutoa?
Wewe ni bwege tu,,
 
Huja haja ya kutukana, jibu swali kisha toa ushahidi. Au zile picha za Kawe ndio ushahidi wako? Mpaka leo mwezi wa nne hujaenda mahakani?

Pia kumbuka mada ni tume huru,je utakutoa?
Mtoa mada uchaguzi umekwisha.tekelezen ilani yenu. Wapinzani wametulia wanasubir muda tu. Mtakapoanzwa kupigwa bakora na watanzania ambao watakuwa wamezinduka wakati huo.
 
Mtoa mada uchaguzi umekwisha.tekelezen ilani yenu. Wapinzani wametulia wanasubir muda tu. Mtakapoanzwa kupigwa bakora na watanzania ambao watakuwa wamezinduka wakati huo.
Ilani ya chama inatekelezwa vipi?
 
Kama. Huijui mpaka ya tume huru shut up and zip it
 
Chama chochote cha siasa kukamata dola lazima kikubalike kwa umma. Ili kikubalike lazima kiwe na sera nzuri, jambo ambalo Chadema inakosa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…