Mnakumbuka bifu kali Jamvini kati ya Gentamycime na Nifah 2014-2015

Inferiority complex kills peoples relationship alot
 
Hapana, nilishamwabudu Mwarabu wa Mecca tangu muda tu

Naomba basi unielewe katika ombi langu bibie
Aah kumbe bado unaabudu binaadam mwenzio, hufai hata chembe.

Wakuabudiwa ni Allah, Muumba wako pekee. Hajazaa wala kuzaliwa na hafanani na yeyote/chochote.
 
Aah kumbe bado unaabudu binaadam mwenzio, hufai hata chembe.

Wakuabudiwa ni Allah, Muumba wako pekee. Hajazaa wala kuzaliwa na hafanani na yeyote/chochote.
Sawa, nikianza kumuabudu Allah utanikubalia ombi langu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…