Mnakumbuka bifu kali Jamvini kati ya Gentamycime na Nifah 2014-2015

Hahaha
 
Evelyn Salt mbona umedislike, 🀣🀣🀣
 
Hahaha
 
Duu
 
Kuna demu mmoja used to call her mbiti yaza,then manengelo, last kabisa wangari maathai,sijui alikuja kufanya nini, mjumbe mmoja alimpasua hadi akakimbia na identity yake! She was like the owner wa JF,kila kitu anajua,mtu wa pesa,mtu wa biashara kubwa kubwa!
 
Yalikuwepo mashangingi kweli kweli asee miamba sana. Ila nahisi siku hizi yapo na ID mpya yanasoma kimya kimya au kujifanya ni wageni
 
Unakumbuka 😁😁😁😁
Hapo katikati iliibuka kampeni Moja nzito Sana ambayo ili wafyekelea mbali akiwamo Demis
 
😁😁😁😁😁 Kuna dogo aliwahi kuvujisha picha za uchi humu za demu mmoja hivi toka morogoro humu ilikuwa haipiti siku Mbili Tatu bila vita tena vita nzito nzito mpaka photo nude zina vujishwa daah jf now days imepoa Sana 🀣🀣
 
🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…