maramojatu
JF-Expert Member
- Mar 16, 2012
- 1,749
- 2,319
Wote wanaungwa mkono SSH na mwenyekiti wa CDMShida yenu BAVICHA hamueleweki, ndiyo maana sasa hivi hamueleweki nani hasa mnamuunga mkono kati ya SSH na Mwenyekiti wenu. Mpo kwenye kundi la mama kuupiga mwingi.
Exactly, dem alikua anaongea matusi yule hadi raha, sijui bed sasa alikuaje. Hv bado yupo kweli?Alikuwa anaitwa Nancy
Kipindi naingia Jf kulikuwa na makundi mno unahisi kama wewe pekee yako ndio ufahamiani na watu uclassic ulikuwepo sana kidogo tu wanakupopoa kwa kukuchangia mande .Na unaweza kumqouote mtu nakuruka kama hakuoni kisha anamjibu mwengine na kumlike..Enzi hiyo kuna watu walikuwa wanajiona kama JF ni mali yao na huwezi kuwaambia kitu yani. Huyo dada ni mmoja wapo pamoja na mishangazi mingine ambayo imesharudisha mpira kwa kipa na mingine imebadili ID ilikuwa ikiishi kwa kuuza mbususu kwa makanjanja wa humu.
We ulikuwa unataka kuteka mademu wa kiislam huku mkuu sio eeehFaziki ni nini ?
Duh! mimi na mademu hatufungamani ,kama ningetaka ningeanza operation hizo tokea skuli na kitaa, maana mimi levo za shule na mtaani nilikuwa star(msanii,kipanga,kiongozi,mhamasishaji) kwa watu wa mtaa wangu ,wanafunzi ,uongozi na walimu hivyo followers nilikuwa nao wengi mno maana ilikuwa ufahari mtu kuwa karibu na mimi .We ulikuwa unataka kuteka mademu wa kiislam huku mkuu sio eeeh
Alikua nayo kule jukwaa la wakubwaJf ya kpnd hiki na miaka kurudi nyuma hadi 2012 ndo ilikua jf, nakumbuka hata admin wa rahatupu blog alikuaga na account humu, mdada fln hv nmesahau jina lake. Kulikua kuna utofauti kati ya wakubwa na wadogo, sikuhizi wote ni humohumo
Teh teh teh 😂😂😂 noma sana hii dunia.Warembo wa JF wanakuchangamkia ila naninihii anapewa mwingine mzee.
Ni sawa na anayehonga anapewa vikiss vya hapa na pale... ila Kuna kale kajamaa kanakopewa Hadi kwa mparange.
Ok basi umesingiziwaDuh! mimi na mademu hatufungamani ,kama ningetaka ningeanza operation hizo tokea skuli na kitaa, maana mimi levo za shule na mtaani nilikuwa star(msanii,kipanga,kiongozi,mhamasishaji) kwa watu wa mtaa wangu ,wanafunzi ,uongozi na walimu hivyo followers nilikuwa nao wengi mno maana ilikuwa ufahari mtu kuwa karibu na mimi .
Jf nimejiunga 2017 kuchangia mada za kidini nimeanza 2022 kama ningekuwa na malengo hayo ningeanza kwa gia hiyo.
Enzi hiyo kuna watu walikuwa wanajiona kama JF ni mali yao na huwezi kuwaambia kitu yani. Huyo dada ni mmoja wapo pamoja na mishangazi mingine ambayo imesharudisha mpira kwa kipa na mingine imebadili ID ilikuwa ikiishi kwa kuuza mbususu kwa makanjanja wa humu.
Genius Ambassadors wa JamiiForums.Ni nani hao?
Mimi miongoni mwa wanaosapoti kauli hizo, sababu kulikuwa hakuna unazi kwenye majukwaa ya nondoz na unakuta nyuzi na comments zona uchambuzi ulioshiba kuliko sasa hivi ukiona comment ya MK254 international basi tegemea unazi na vicheko vya kinadada "hehehehe" baada ya kujibu hoja.Ndio hizo enzi wahenga wanasema JF ilikuwa ya great thinkers tu[emoji1787]
kumbeee ,hongera zao.Genius Ambassadors wa JamiiForums.
Babu siku hizi umepoa sana baada ya kupokea pensheni mjukuu wako hutaki hata kuninunulia kvantUnanitaja kwa kutumia "code"?
Kwani ulikuwa hujui? Muulize adriz Ok?kumbeee ,hongera zao.
"tiba asili, anatibu magonjwa sugu, mali bila kafara, pete ya bahati, kumvuta umtakae kwa haraka. Piga namba-----------". Shimba ya Buyenze, Mshana Jr MidekoKwani ulikuwa hujui? Muulize adriz Ok?
We ulikuwa unataka kuteka mademu wa kiislam huku mkuu sio eeeh
Mimi miongoni mwa wanaosapoti kauli hizo, sababu kulikuwa hakuna unazi kwenye majukwaa ya nondoz na unakuta nyuzi na comments zona uchambuzi ulioshiba kuliko sasa hivi ukiona comment ya MK254 international basi tegemea unazi na vicheko vya kinadada "hehehehe" baada ya kujibu hoja.
Vilevile watu wa kutoa madini wengi walikuwepo mfano @humbeafrican The Bold hata Popoma GENTAMYCINE ilikuwa ukiona uzi wake unajua leo hapa kuna madini mazito mtu hadi unajiona haujafikia uwezo wa kupost uzi humu ,sasa hivi mtu uzi anafyatua tu akishiba mapande ya muhogo.Hayo mambo yalikuwa Celebrity ,Chitchat na MMU tu.