Mnakumbuka Matangazo ya zamani ya Radio na ITV yalivyokuwa na mvuto!?

Kuna katuni moja ya KADIDI TOTO TUNDU...nimesahau gazeti ila dogo alikua tundu sana...Tangazo flani la Rfa ndo fm ilikua inashika sana "We soggy wewe kata mti panda mti" saa nane iyo wanachapa bongo fleva kule radio one kuna tangazo lakwa Fujo djz Abubakar Said kwa fujo djz halafu radio one stereo hapo mmetoka prepo ijumaa saa nne ni kula bongo fuleva tuu

Pale kenya KBC jumapili...jee huu ni uugwanaa na Leonald mambombotela

"Pika kwa Kimboo"
"Wewe mama kadogoo....Siyoo siri ni roycoo mchuzi mix"
 
Umenikumbusha bwana Rambo tangazo lilienda hivi

"Mpita njia: Vipi Rambo?
Rambo: Pancha bwana
Mpita Njia: Pancha wakati kuna OKO"
 
Mimi ni Maimuna.................
 
Mimi naitwa jambo kubwa je wewe unaitwa nani.. Mm naitwa jambo katkat na wew jee.. Mm naitwa jambo ndogo.. Ifanye ngozi yako nyororo lain yeny afya kwa kutumia jambo losheni yenye vitamin... Jambo ni losheni yako kwa wakat wote na kwa familia yako.. Nunua sasaaa
 
Translation " baba yake chale ana viraka viwili vinaulizana umekuja lini, nimekuja Jana nikashinda leoooooooo" kale ka beat ya wimbo kipindi cha michezo RTD sijui kama kale ka beat bado kapo
 
Ahaha hii wakat wa igizo la kaole sikumbuki ilikua itv au tvt
 
Mshindi eenh, Mshindi ni sabuni ya mche, yenye harufu nzuri hiyo ilikuwa radio Tanzania dar es salaam asubuhi Kama saa 12.15.. Wazee wenzangu ndio watakao Kumbuka Ila Nyie Vijana wa ..com,, hamtaelewa Hata chembe
 
[HASHTAG]#Its[/HASHTAG] KILLI time, make the most of it
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…