Mnakumbuka Matangazo ya zamani ya Radio na ITV yalivyokuwa na mvuto!?

Kibuku oyeee hongera hongera!! Mchezo wa kina jangala,jongo na kina kidawa!
Basi kale kawimbo ka marimba cjui nn wakat mchezo wa kina Kidawa unataka kuanza tulikuwa tunaimba kisir siri wakubwa wasisikie "tnafatisha mapigo tunaweka maneno yetu... Kidawa mama kidawa kidawa kidawa kapata mimba kidawa "
 
Ngozi yako ni laini na nyororo... halaf mdada anajibu mmmmh kama hariri yle jamaa anasema hakika ww unatumia revola mdada anajibu ni kweli [emoji28]
 
Kibuku oyeee hongera hongera!! Mchezo wa kina jangala,jongo na kina kidawa!
Kulikuwa pia lile tangazo "Posta na simu kweliiiiii agiza barua vitu mbali mbali vifike haraka tena kwa uhakika.........." It was interesting kwa kweli
 
hebuu jitokezeeeeeee jionyesheee simamaaaa mbele za watuuuuuuuuuuuuuuu kitambo
kama sikosei KIWI asee
 
Wanafunzi walioomba kujiunga na Elimu ya Juu wengi wamekosa nafasi.. Halafu unatuletea habari za Chai Jaba
Kwani kila demu unaye mtongoza lazima akukubali? Ukiona hivyo jua hawana sifa.
 
Hahahahaha eyatel walitisha na lile tangazo la mangi. Sjui nin na nin "iyo ela bora ukanunue gazeti ujipepeee" nmelisahau aiseee
 
Kuna lile tangazo la serengeti premium lager nililifurahia sana kutokana na ubunifu wa yule chui[emoji481] [emoji482]
 
Scania Scania, haitoshi kusema Scania sema 111 LBT Scania....
 
Ongezea tu na msisimko wa coca.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…