Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,743
- 25,564
Nimelikumbuka lile tangazo la Joji ma Amanda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna lile la redio tanzania,ilikiwa asubuh utasikia jambo...sijambo jirani,hamjambo africa mashariki hatujambo...saaafi sana unajianda kwenda skuli umejipaka rays huna shida na mtu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mpwa msamehe bure mtaani kugumu hadi watu wanakumbuka matangazo ya mqaka 47
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nipeni nguo nifueeeeh, KOMOA, nipeni vyombo niosheeeeh KOMOA
Stress ni tatizoWanafunzi walioomba kujiunga na Elimu ya Juu wengi wamekosa nafasi.. Halafu unatuletea habari za Chai Jaba
Hahahaaaaa... Yaani umenigusa, Jambo katikati alikuwa ni shidaUmenikumbusha tangazo la rosheni ya JAMBO kuna jambo kubwa,jambo ndogo na JAMBO KATIKATI[huyu ndo alikua ananifurahisha]
Iko hiviKulikuwa pia lile tangazo "Posta na simu kweliiiiii agiza barua vitu mbali mbali vifike haraka tena kwa uhakika.........." It was interesting kwa kweli
Long time ago you know mpaka nimechekaIko hivi
Posta na simu kweli
Kweliiii....
Tuma vifurushiii..
Barua na pesa,
Vitu..
Vitu mbalimbali, vifike haraka
Tena, tena kwa uhakika
Litumie sasa shirika la posta na simu Tanzania, ndiyo tegemeo letu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] zimejaa kibao mtaani, vijijini ndio mafuta yaoHivi reys bado ipo?
Ntayatafuta nijikumbushie[emoji23] [emoji23] [emoji23] zimejaa kibao mtaani, vijijini ndio mafuta yao
na Vaseline
(Mdundo)eeeeee komoa (mdundo) komoa,mdundo wake ulikua wanikosha sanaa!Nipeni nguo nifueeeeh, KOMOA, nipeni vyombo niosheeeeh KOMOA
Hahahahhaaha!kuna tangazo moja la condom, lilinifanya nipigwe kofi na bimkubwa sitokuja sahau, lilikuwa jamaa anatembea kwenye mvua anafunika mpenzi wake na koti halaf kuna wimbo fulan mzurii mwishoni nikamalizia "kama kweli unampenda utamlinda!" bwana weee lilekofi nalikumbuka hadi kesho
Hicho kipande cha tuwasikilize mama lisheeeee kama napaona vileee[emoji23][emoji23][emoji23] chaiiii jabaaaa embu tuwasikilizeee mama lisheeeee .....yenye harufu nzuri yenye nguvu kuliko zote...chai jabaaa...kikombeee cha marafikiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mambo vipi wanajamii.
Kwa wale vijana wenzangu tuliozaliwa enzi za Nyerere na mwinyi kuna matangazo haya utakuwa unayakumbuka. Tangazo la kwanza ni lile linaloanza hivii "Tueleze siri ya Mafanikio yako", kisha yule mrembo anajibu "Sio siri ni Levora" nakumbuka kipindi kile watu walisema kuwa yule binti ni mtoto wa tajiri Mengi.
Tangazo la Pili ni la chai jaba. Nadhani kama Diamond platnum angekuwa anafanya muziki kipindi kile wangempa hii a.k.a "Chai jaba''.
Kwa aliye na Video ama audio ya matangazo haya atuwekee hapa tujikumbushie na pia kama unayakumbuka matangazo mengine yaliyovuma enzi zile hebu tutajie hapo chini.
Kwani yeye hao wanafunzi wanamhusu nini!!Wanafunzi walioomba kujiunga na Elimu ya Juu wengi wamekosa nafasi.. Halafu unatuletea habari za Chai Jaba
Alikuwemo nasma kidogo na khadija kopa eeee!Foma foma foma kiboko ya uchafu yeyeyeeee yeyeyeeee.lilikuwa tangazo maarufu ya foma gold
Khaaa! Jamani hahahaha!Vodacom lile tangazo lao la George Poji na Amanda [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]