Mnaobambikiwa watoto na kuwakubali wakizaliwa kwakuwa tu wamefanana nanyi hizi ndizo mbinu kuu za wanawake wenu

Wanasemaga Kitanda hakizai haramu.....

Mimi kwangu hio haipo
 

Sio za kiutamaduni, Ni za kichaw...
 
Maelezo yako hayana scientific proof.
 
Mleta mada usha wavuruga watu sasa. Utasababisha watu watengangane hata vyumba vya kulala
 
Kila nikikaa , nasita kuisaliti sayansi niliyoisoma kule shuleni , eti nikubaliane nawewe πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…