TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Asubuhi njema, Mkuu.asilimia kubwa, hata kukufariji kinaweza kukufariji hata kama kitakuwa kimekudanganya. kuliko bure bure.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asubuhi njema, Mkuu.asilimia kubwa, hata kukufariji kinaweza kukufariji hata kama kitakuwa kimekudanganya. kuliko bure bure.
Mwanamke yoyote akiwa ameshabeba Mimba / Ujauzito kwa Mwanaume mwingine na anataka Mtoto akizaliwa afanane nawe (Mume / Mpenzi halali) na umkubali hufanya haya.
1. Atakuvizia Usiku ukiwa Umelala Fofofo kisha anakuruka mara Mbili tu na hapo Mchezo unakuwa umeisha.
2. Atakulazimisha muende Bafuni mkaoge wote na Maji yale yale ya Ndoo Moja atalazimisha myaogee wote.
Hizi ni Mbinu za Kiutamaduni (Kienyeji) ambazo Wanawake wa Kale (wa zamani wamezitumia) katika kuwabambikia Waume zao / Wapenzi wao Mimba na Watoto enzi hizo na bahati mbaya hata Wanawake wa sasa (tulionao) nao wameigundua na wanaitumia kwetu Sisi Wanaume na ama hakika Wanatubambikia kweli kweli.
Nilitabiri kuwa Uzi huu lazima viumane kwa kuibua ugomvikuna mtoto nafanana naye sana, anafanana na ndugu zangu, but still lazima nifanye DNA test.
Tatizo unajua nitakutukana pia, hamna .Halafu kwa Uzuzu ( Ujuha ) wako Uliokukomaa bado tena unapoteza muda wako Kuzisoma mwanzo mpaka mwisho!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hv vtanda vyetu si wanatuluk tuu kila siku , hata kam upo macho , akiend kukojoa anakuruka akirud anakuruka , had ajifungue usharukwa sana.
Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Vipi kama kapewa mimba na mzungu au mchina?
Maelezo yako hayana scientific proof.Mwanamke yoyote akiwa ameshabeba Mimba / Ujauzito kwa Mwanaume mwingine na anataka Mtoto akizaliwa afanane nawe (Mume / Mpenzi halali) na umkubali hufanya haya.
1. Atakuvizia Usiku ukiwa Umelala Fofofo kisha anakuruka mara Mbili tu na hapo Mchezo unakuwa umeisha.
2. Atakulazimisha muende Bafuni mkaoge wote na Maji yale yale ya Ndoo Moja atalazimisha myaogee wote.
Hizi ni Mbinu za Kiutamaduni (Kienyeji) ambazo Wanawake wa Kale (wa zamani wamezitumia) katika kuwabambikia Waume zao / Wapenzi wao Mimba na Watoto enzi hizo na bahati mbaya hata Wanawake wa sasa (tulionao) nao wameigundua na wanaitumia kwetu Sisi Wanaume na ama hakika Wanatubambikia kweli kweli.
Ndiyo umenilazimishaKuna mahala nimekulazimisha Uyaamini?
Itafika Msamvu, Morogoro; kisha either itapinda kuelekea DOM au itanyoosha kuelekea IR.Siku ambayo serikali itarahisisha mchakato wa DNA, nahisi hiyo foleni huko mahospitalini sijui itakuwaje.
😀😀😀Itafika Msamvu, Morogoro; kisha either itapinda kuelekea DOM au itanyoosha kuelekea IR.
Njoo Sasa nikutindue marinda,lkn beba KY na pampers kabisa.Kukukaza au?
Hapo imekula kwa mama Chanja,hatari sana mleta mada Mungu anamuonaAsante mkuu maaan wikiend hii naenda kwa mama chanja amesema lazma tuoge wote
Umeniokoa sana
Kaniokoa sanaHapo imekula kwa mama Chanja,hatari sana mleta mada Mungu anamuona