Mnaobambikiwa watoto na kuwakubali wakizaliwa kwakuwa tu wamefanana nanyi hizi ndizo mbinu kuu za wanawake wenu

Wanasemaga Kitanda hakizai haramu.....

Mimi kwangu hio haipo
 
Mwanamke yoyote akiwa ameshabeba Mimba / Ujauzito kwa Mwanaume mwingine na anataka Mtoto akizaliwa afanane nawe (Mume / Mpenzi halali) na umkubali hufanya haya.

1. Atakuvizia Usiku ukiwa Umelala Fofofo kisha anakuruka mara Mbili tu na hapo Mchezo unakuwa umeisha.

2. Atakulazimisha muende Bafuni mkaoge wote na Maji yale yale ya Ndoo Moja atalazimisha myaogee wote
.

Hizi ni Mbinu za Kiutamaduni (Kienyeji) ambazo Wanawake wa Kale (wa zamani wamezitumia) katika kuwabambikia Waume zao / Wapenzi wao Mimba na Watoto enzi hizo na bahati mbaya hata Wanawake wa sasa (tulionao) nao wameigundua na wanaitumia kwetu Sisi Wanaume na ama hakika Wanatubambikia kweli kweli.

Sio za kiutamaduni, Ni za kichaw...
 
Maelezo yako hayana scientific proof.
 
Kila nikikaa , nasita kuisaliti sayansi niliyoisoma kule shuleni , eti nikubaliane nawewe 😅😅
 
Back
Top Bottom