Mnaofanya mazoezi ya kukimbia kuna mambo mnadanganya

Hizo ni chache sana
Sio chache mkuu.. inategemeana na mtu. Kuna wanaofanya mazoezi ila pia wana vipaji vya riadha. Hawa huwa tofauti.. gebresellasie wa Ethiopia ana miaka zaidi ya 50 ila ukienda nae zoezi hutoboi.
 
Mazoezi ni muhimu acha
Nguvu wanazozitumia kukimbia barabarani, kwenda Jim kupambana na mavyuma na sauna wangetumia nguvu hizo kufanya kazi za kuwaingizia pesa Tanzania tungekuwa na Matajiri wengi..Sasa wasubiri fainali uzeeni ndio watakutia.nguvu walizopoteza bure

Aisee bado uko fit sana. Una umri zaidi ya 30 years?
Ndio
 
Labda kama mimi ndio sijui urefu wa 13km.
Kwa hiyo hata yule mlinda lango wa timu ya wale makhirikhiri pia hawezi?
 
Kukimbia ni noma sana kama hauna mazoezi ukikimbia km3 unahisi unataka kufa aisee
Na mazoezi mazuri sio kukimbia. Ni KUTEMBEA HARAKA HARAKA! Utatunza afya ya moyo wake. Kukimbia huweza kusababisha mtanuko wa moyo.
 
Hahahaha! Wapili wewe unalalamikia mafanikio ya wenzako
 
1l🤣🤣🤣🤣🤣
 
acha wivu kwa vibonge wepesi.... umesema 2km nikasikitika unazidiwa hadi na mke wangu anasogeza 5km na halii lii kama ww
 
UKITAKA KUKIMBIA BILA KUCHOKA FANYA HIVI;
1. Chukua simu yako au zile headphone weka nyimbo unazopenda kisha anza kukimbia
2. Usikimbie kama unakimbizwa
3. Usitumie mdomo kuvuta na kutoa pumzi, tumia pua tu. Ukitumia mdomo kuna mawili, kupata pumu au ndani ya dakika 3 ulimi nje kama mbwa
4. Muda mzuri wa mazoezi ni jioni
 
Nina shida kuchunika paja toka nimeanza zoezi la kutembea umbali mrefu kwa kasi wadau.
 
Hivi bado mpo watu wa kusema hvo mi ni nani?
Nkishakujua itakuaje
Mkitukanwa mnalia vijana wa siku hizi hawana adabu kumbe wew ndo umeanza kuleta upumbavu wako
Ukute yeye ni kijana zaidi yako,ila kwasababu wengi tupo kihisia zaidi,tunahisi mtu flani ni mdogo au mkubwa kutokana na kujaji maandishi yetu.
 
Uvumilivu ukikushinda mtafune tu,wanatamanisha sana hao,hasa wenye makalio makubwa na K za kutuna,yaani inaleta raha sana kufanya nao mazoezi,wanahamasisha mtu uende mazoezi Kila mara.
 
 

Attachments

  • Screenshot_2024-04-28-19-18-17-43.jpg
    223.2 KB · Views: 8
1. Kuweka headphone siwezi nitashindwa ku-focus.
2. Mimi zile 3km za mwanzo huwa natumia nguvu zangu zote kwasababu hata nikikimbia taratibu nitachoka tu baada ya 3km. Tena huenda nikachoka zaidi.
3. Kweli hii kupumulia mdomo imenigharimu mno. Tangu nilipoanza kuukwepa mdomo kuna mafanikio nayaona.
4. Sahihi kabisa. Mimi huwa naanza saa 10 na nusu hadi saa 12.
 
Usiamini unayoyaona kwenye mitandao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…