Mnaofurahia Mikopo, Sri Lanka pia iIianza kama sisi

Bora hata tunawekwa wazi kuhusu hii mikopo, kuliko ile tuliyokuwa tunadanganywa Tanzania ni nchi tajiri wakati wanakopa kimya kimya.
 
Tozo zimeshindwa kazi. Ni Bora wazifute tu.
Tozo na Kodi zozote haziwezi maliza matatizo ya watu kama tuu vile ambavyo wewe hutokuja kumaliza matatizo yako..

Ukikopa Unapata pesa ya pamoja na unafanya jambo lako fasta na Kwa mda mfupi huku ukilipa taratibu badala ya kusubiria sijui makusanyo yanachukua mda.
 
Subiri machawa walamba asali waje, maoni , kila mkoa uwe nchi huru
 
TRA wanakusanya 21 Trillion kwa mwaka mzima,
Mishahara 11 Trillion kwa mwaka
Ulipaji wa madeni 11 trillon kwa mwaka.
Bajeti ya mwaka mzima 2022/23 ya nchi kuhudumia watanzania milion 60 ni Trilllion 41.
Imagine Tanzania bila mikopo, na watu bado wanadai kodi na tozo zipunguzwe.

Hao ndugu zetu wanaolalamika kuhusu mikopo ndio wakwepaji wakubwa wa kulipa kodi, wakikosa huduma za jamii ndio wanakuwa wa kwanza kuikosoa serikali kwenye mitandao (keyboard worriors).
 
Achana na mataahira ndio maana Mimi huwa nawapa vitasa tuu huwa hawanipi shida na wananifahamu vizuri..

Waambie Serikali haikurupuki na hakuna Nchi isiyo na Mikopo hapa Duniani na infact Tanzania ndio wavivu Kukopa ndio maana tuna makodi Kodi mengi yanayoumiza Uchumi sababu ya jamii kukaa mandezi wengi..

Tungekuwa tunakopa walau kwa 50% ya uwezo wetu Kodi nyinginzingepungua,kiasi ambacho kingekuwa saved kwao kingestimulate aggregate demand na hivyo kuchochea zaidi productions..

Uzuri wa mikopo hulipwa mdogo mdogo.Ila kwa mentality za kijinga walizo nazo acha Serikali iendelee kuwagonga kwa VAT 18% na tozo kama zote .
 
Kenya nao nimeona wameomba mkopo IMF kwa ground tulizotumia kuupata huu mkopo (KSH 28 billion)
 

Mkuuu kama ww ni mwanaume Na unayo familia alafu unaongea hivi kwakweli wakwenu wote wamekula hasara....miaka ya nyuma ilitakiwa ufungwe jiwe utumbukizwe baharini ili husje waambukiza wenzio ujinga.
Huoni kupanda kwa gharama za maisha kwa mtanzania wa chini,bado unasifia ujinga mkuu,huyu mama nachotusahidia kwa sasa ni kipi yeye kama kiongozi mkuu wa Taifa?.
Yeye ashajua tayari 2025 hawezi pigiwa kura na mtu yeyote mwenye akili timamu.....anachokifanya sasa ni kama alichokifanya kikwete wakati anamalizia muhula wake wa mwisho.
 

Hacha kuandika ujinga basi chief wanaume wakiwa wanajadili mambo ya kifamilia hasa taifa letu,Tunachozungumzia sawa wakope ila wanakopa kwa sababu zipi,Tunayo rasilimali za kutosha hapa nchini.
Na je hiyo mikopo tunayokopa inafanya kazi waliyokopea?,Ukianza kuongeza Ujinga waza kwamba hapa unatumia simu so kila muhamala unaofanya wenye mta ndao wao wanakata gharama,serikali nayo inakata tozo,wakati huo ukinunua vocha wanakata Kodi,alafu wanaenda Tena kukopa nje,kwenye huo mkopo pia na ww itatakiwa kuulipia kwa namna moja au nyingine.
 
Wewe ndio mjinga tena taahira,kuna Nchi huwa inakopa bila kuwa na Sababu za Kukopa?

Kwanza ulisoma maelezo ya wakopeshaji? Pili hujawahi isikia Serikali ikisema tunakopa kwa ajili ya miradi?

Harafu kwa akili zako za kindezi unajua miradi labda ni barabara tuu..Kuwa mwanaume hakukuongezei akili kama ulizaliwa nyumbu utakuwa nyumbu tuu.
 
Tanzania sio Sri Lanka,Tanzania imekuwa ikikopa toka kabla ya Uhuru na Kuna kipindi tulikuwa na madeni mengi kuliko sasa hivi na tuliyalipa na mengine wahisani walitufutia.
Hata Sri Lanka ilianza kitambo kukopa, mwisho wa siku ikaangukia pua.
 
Kaka sio hawamu ni AWAMU nimeandika kwa herufi kubwa utambue[emoji1787][emoji1787]
Aliyeandika HAWAMU na AWAMU ni wewe pia.

Ahsante kwa kuliona hilo ila sio hawamu tu bali kuna mengine...rudia andiko lako ili uone mwenyewe na ikiwezekana urekebishe.
 
Lini mshawai fanyiwa mazur na mkakili kuwa ni kweli lini?
 
MIKOPO mpaka Imemtorosha RAIS wa Nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…