Mnaofurahia Mikopo, Sri Lanka pia iIianza kama sisi

Hizo unaongea Ilani ya uchaguzi ya CCM ya Magufuli,ambae mlimfutilia mbali.

Sasa tueleze miradi na Ilani ya uchaguzi ya hii mnayoiita......
"Awamu ya Sita" kama ipo!

Kupanda kwa mishahara kunabaki kwenye tarakimu tu.
Ukija kwenye uhalisia utashika kiuno kwa uchovu!
 
Wewe ni kiazi sana unamponda SSH na mikopo, rejea kichwa cha hii thread ndio utajua kama kichwani hupo sawa.
 
Kuna miradi gani ya siri unayoijua wewe peke yako pamoja na serikali tu?

Tuambie mradi hata mmoja ambao kauanzisha mama yenu, ambao ni wenye tija kwa taifa.
Tangu katiba ilipompa madaraka?
Acha kuangalia pono mda wote ndio maana unakuwa mpumbavu na pili shida yako hata hujui wapi pankupata taarifa sahihi..

Miradi ni endless,1.Vipande vyote vya sgr sasa hivi vina wakandarasi hadi Mwanza ,kumbuka alichukua kukiwa na wakandarasi 2..

2.Ukiacha miradi ya maji ya uviko ninjuzi tuu hapo kazindua ujenzi wa miradi ya maji miji 28 yenye thamani ya zaidi ya Til.1.,

3.Anajenga hospital ya Rufaa ya Kanda ya Magharibi Kigoma,

4.Anajenga Hosp ya Rufaa ya Mkoa Wa Ruvuma na hospital za Wilaya 12 mpya na anamalizia zingine zote alizoacha Jiwe,mfano Hospital ya Kanda Chato imeanza kufanya Kazi baada ya mama kuimalizia.

5.Anajenga Bwawa la Maji la Farkwa Dodoma zaidi ya bil.207.,

6.Anajenga Bwawa La Maji la Kidunda kule Pwani ilinkumaliza tatizo la maji Pwani na Dar,zaidi ya bil.500.

7.Anajenga Ring Road Dom,Msalato Airport,Daraja la Mwanza na maelfu ya km za barabara zinaendelea Nchi nzima.

8.Naishia tuu hapa ila miradi ni mingi mingi kila sekta, kwamba ameanza ujenzi wa BRT phase 3 kule Dar 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220718-154203.png
    187.9 KB · Views: 3
Nashauri gombea ubunge 2025 ukapendekeze serikali itumie escudo.
 
Huyo hata ukimuuliza bajeti ya Tanzania 2022/23 ni kiasi gani hajui.
 
Kwanza uelewe kwamba hakuna "awamu ya sita"

Na kama ipo nitajie ilani yake ya uchaguzi insyoitumia kama sio ile ile ya Magufuli?

Utatekelezaje ahadi za ilani ya Tano halafu ujiite awamu ya Sita?

Awamu ya Tano ilipiga marufuku matumizi holela kama hayo ya
Warsha.
Wakongamano.
Safari holela.
Semina.
Na mengineyo mengi tu.
Matokeo yake pamoja na wengi kununa lakini tuliona miradi ikiibuka kama uyoga na kukamilika bila chengachenga.

Lakini sasa tumerudishwa kulekule.
Hata CCM wameanza kuona aibu ya nguo zao tena.
 

Attachments

  • Screenshot_20220719-154620.png
    93.2 KB · Views: 3
  • Screenshot_20220719-154503.png
    119.7 KB · Views: 2
  • Screenshot_20220719-154443.png
    76.7 KB · Views: 3
  • Screenshot_20220719-154034.png
    123.9 KB · Views: 4
  • Screenshot_20220719-154014.png
    118.5 KB · Views: 2
  • Screenshot_20220719-153402.png
    122.7 KB · Views: 3
Kuna raia wanataka raisi agombe gombe huku kila mtu esp TBC ikimtangaza raisi tu ndo waone anafanya kazi.
 
Wewe ni kiazi bishana na mamlaka sasa

 
Kuna raia wanataka raisi agombe gombe huku kila mtu esp TBC ikimtangaza raisi tu ndo waone anafanya kazi.
Waambieni that nonsense will never happen under Samia.

Quit but strong ndio maana unaona kila sekta inapafomu na wezi wanashuhhulikiwa.
 
Reactions: Tsh
Kipindi cha JPM tuliona matumizi sahihi ya raslimali za nchi hii pamoja na kuzuia michwa kula mbao za maghala ya Taifa.
Sasa walipoona kawabana na wanaelekea kupotea kwenye ramani ndio wakatuondolea mtu wa ukweli. View attachment 2296602
Na haya uliyaona? 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220719-125637.png
    151.1 KB · Views: 2
  • Screenshot_20220719-125402.png
    54.7 KB · Views: 3
Waambieni that nonsense will never happen under Samia.

Quit but strong ndio maana unaona kila sekta inapafomu na wezi wanashuhhulikiwa.
Mama anatushawishi SANA hata sisi tuliokuwa wapinga kila kitu cha serikali, na ikiwezekana 2025 itakuwa mara yangu ya kwanza kura yangu ya uraisi kwenda CCM.
 
If now was be awamu ya tano it's true ungeweza kuongea Kama unavyo ongea now try to think many issue is back especially freedom now you can speak like that because you have right and past don't having that right so try to think she is doing better more than you think and more to make sure Avery have happy and peaceful
 
Achana na hizo propaganda za Ruwasa na nyinginezo.
Tuongelee taifa kama taifa ni kipi tumesonga mbele tangu mama amesema anafungua nchi?

Kero za maji ndio zimeongezeka tena mijini kwenyewe.

Kule Mwanza mjini wako karibu na ziwa lakini sasa ni mwezi wa pili unaenda wakiwa kwenye mgao wa maji.

Tunatozwa miamala lukuki, tunalipa kodi kama zote, tunapokea mikopo kama yote ndio.

Sasa tuambie walau jambo moja ambalo limetekelezwa?

Achana na ile miradi ya JPM aliyoanzisha na ambayo sasa inapigwa slow down kisa haina 10% kama vile bwawa la Nyerere?
 
Ni wapi kwenye katiba au sheria panapotajwa mambo ya awamu? Haya ni maneno ya kujifurahisha tu.
Hadi Mwalimu anang'atuka hakuwa akiitwa rais wa Awamu ya kwanza.
 
Thibitisha
 
Inahitaji akili mingi sana kumuelewa SSH, kwa nchi yetu ilipokuwa imefika hata wangeingia CHADEMA wasingeiacha hii mikopo. Ukiwamfuatiliaji wa Bunge la bajeti huwezi kuwa na shida. Mbaya ni ukiwa activisit upepo tu utabisha kila kitu.

Nchii yetu mapato bado ni kidogo na watu kodi hatulipi na mahitaji ni mengi, na bado wanaharakati njaa wanalalamikia mikopo. Wakikosa huduma za kijamii bado watalalamika na kodi/ tozo wanataka ziondolewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…